Dr. George Kahangwa Sera ya elimu naipa "C"

nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
4,386
2,151
Mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM Dr .George Kahangwa, ameipa daraja la "C" sera mpya ya elimu nakushauri muda bado upo ikaboreshwe upya.

Dr Kahangwa ameyasema hayo katika kipindi cha kipima joto ITV kuanzia saa 21:00-23:00 leo tarehe 20.02.2015

Unakaribishwa kuchangia na kutoa mapendekezo mapya.
 
Ndio sifa ya kuwa mwalimu UDSM hakuna kutoa A, hata angetunga yeye bado wenzie wangemgonga C tu. Ila mie siamini kama bado their the best kutokana na namna wanavyojikubali zaidi wao na kinacho mchanganya zaidi ni theory na practice. Ndio maana wachumi waliweka assumption ili mambo yaende. Kuna ambayo yuko sawa lakini kwa namna ya C bado yuko accademician zaidi kama watu wasingejiongeza kidogo mpaka leo chuo kingekuwa UDSM tu. Walimu wa namna yake bado hawajakubali kama na wao ni chanzo cha matatizo ya watz, ila ningeshangaa kama angesema tofauti. Mijadala ya council chamber ndio hiko hivyo, kuna wakati unaambiwa nenda kaandike upya au major review sababu ambayo hata editing ingetatua.
 
Naam! Lakini Dr kachambua vizuri kama ungemsikiliza ungemsoma. Nadhani kuna vipengele vya Kurekebisha na kuweka minofuminofu ili kuimarisha sera yetu mpya ya elimu. Ahsante sana
 
Ndio sifa ya kuwa mwalimu UDSM hakuna kutoa A, hata angetunga yeye bado wenzie wangemgonga C tu. Ila mie siamini kama bado their the best kutokana na namna wanavyojikubali zaidi wao na kinacho mchanganya zaidi ni theory na practice. Ndio maana wachumi waliweka assumption ili mambo yaende. Kuna ambayo yuko sawa lakini kwa namna ya C bado yuko accademician zaidi kama watu wasingejiongeza kidogo mpaka leo chuo kingekuwa UDSM tu. Walimu wa namna yake bado hawajakubali kama na wao ni chanzo cha matatizo ya watz, ila ningeshangaa kama angesema tofauti. Mijadala ya council chamber ndio hiko hivyo, kuna wakati unaambiwa nenda kaandike upya au major review sababu ambayo hata editing ingetatua.

Issue ya Elimu yetu kujumuisha Knowledge, attitude na competence kama sera ya sasa inavyosema haijaeleweka kabisa kwa wengine mkuu!
 
Hahahaha!! Kama umempatia utakuwa mganga wa kienyeji.

Jamaa alikua anajitutumua hasa halafu wenzie walitulia tu wanamchora!!!

Aisee kuna watu majasiri sijawahi ona yaani bwana Mlingo alikua anaongea vitu asivyoelewa wala kuwa na ujuzi navyo kwa ujasiri mkubwa!!!

Reasoning capacity yake ni very poor!!!
 
Kweli tupu. Jamaa alikuwa anapata tabu sana huku akitumia nguvu nyingi kisiasa kujenga hoja wakati wenzake wakichambua sera mstari kwa mstari.
 
Issue ya Elimu yetu kujumuisha Knowledge, attitude na competence kama sera ya sasa inavyosema haijaeleweka kabisa kwa wengine mkuu!

Jaribuni kuipitia sera vizuri ndugu zangu imekaa kisiasa sana! Mapungufu yapo mengi mfano sera haijaonesha "cost unit" ya mwanafunzi sasa utawezaje kutoa elimu bure bila kusema utapata wapi pato la kuendesha hiyo elimu?
 
Wale ma-dr walikuwa wanachanganya kati ya sera yenyewe na mikakati ya utekelezaji mwakilishi wa shule binafsi ametiririka vizuri sera ni mzuri kwa kuanzia.
Inaondoa ukoloni hivi kwa nini miaka zaidi 50 ya uhuru uendelee kung'ang'ania Kiingereza kufundishia wakati Kiswahili ndicho kinachotumika katika mijadala ya kitaaluma sekondari hadi vyuo?
 
Back
Top Bottom