Recent content by simon james

  1. S

    JamiiForums Tanzania TPDC yakanusha utapeli wa ajira 500

    wakina chagonja wapo busy kuzuia maandamano YA CHADEMA
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vilio vyatawala msibani, viongozi wa CHADEMA watoa hotuba kali kwa wananchi

    Nilihudhuria Mazishi Kwakweli Nimewakubali CDM kwa ushirikiano
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

    Daah I Cant Believe R.I.P Kamanda
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

    My God!! Nimeshtuka Sana Kupata Taarifa Hizi, Nakumbuka Marehemu Alipo Tuhamasisha Kuchangia Fedha Tuka Jenga Ofisi Na Kununua Thamani Za Ndani, Tuliwah Kusafir Kwa Bodaboda Toka Makanya Kwenda Nkwini, Mgwari, Kasapo, Makongoro Hadi Chankoko Kutangaza Chama Na Kupokea Makamanda, Hakika Nimeguswa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa kifo cha CHADEMA waigeukia CCM watabiri wahaha!!

    Zile enzi za ujinga zilishapita, sasa tumekua werevu. Hatuwezi kumvumilia Mbunge mwenye mawazo mufilis,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa kifo cha CHADEMA waigeukia CCM watabiri wahaha!!

    Hongera kamanda mbaga
  7. S

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango ajitangaza kuwa 'mbunge wa maisha' wa Same Mashariki

    Itakula kwao yeye na Matayo wapo vijana wamejipanga kuwaporomosha vibaya majimbo yote
  8. S

    JamiiForums Tanzania Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

    Inadhìhirisha wao wanahusika 100% na swala la ulimboka. Waandish wa habari mtafuteni huyo security mpate habari kamili muujuze uma ujue uovu wanaofanya usalama na polic dhid ya wananch
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

    Mambo haya yapo!! Polisi + usalama =wapo kulinda maslah ya matajiri wachache na chama chao. Wewe unayebisha nadhani unahusika
  10. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

    Falme zinapingana! Yetu macho
  11. S

    JamiiForums Tanzania David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

    Kwa maneno haya kweli za mwizi ni Arobaini, utapeli huu alitumia na anautumia kuwarubuni wananchi wa jimbolake kwasababu hana mpango mkakati wowote licha ya kutapeli wananch kuwa yeye ndo anaye waletea mahind ya msaada, na kutoa kalenda, na kanga na hongo ili wamchague. Za mwiz arobaini
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Star Tv
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Wamepotosha Bunge kuwa madaktari wamerudi kazini.
Back
Top Bottom