CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

My God!! Nimeshtuka Sana Kupata Taarifa Hizi, Nakumbuka Marehemu Alipo Tuhamasisha Kuchangia Fedha Tuka Jenga Ofisi Na Kununua Thamani Za Ndani, Tuliwah Kusafir Kwa Bodaboda Toka Makanya Kwenda Nkwini, Mgwari, Kasapo, Makongoro Hadi Chankoko Kutangaza Chama Na Kupokea Makamanda, Hakika Nimeguswa Na Msiba Huu Na Nipo Arusha Ila Asubuh Na Mapema Nitasafiri Kurudi Kijijini Kushiriki Mazishi, Natuma Salam Za Rambirambi Kwa Mwenyekiti, Katibu Na Viongozi Wa Bawacha Na Bavicha Kata Ya Makanya, R.I.P ANDERSON I Cant Believe That
 
Ndugu Wana Jamii: Hakika Mungu Ametoa Na Mungu Ametwaa, CHADEMA Wilaya Ya Same Imepata Pigo Baada Ya Kuondokewa Na Naibu Katibu Wa Chadema Kata Ya Makanya Ndugu Andersoni Nikundiwe Ambaye Alifariki Majira Ya Asubuhi Leo 20/09/2014, Ikumbukwe Ndugu Andersoni Alikua Mstari Wa Mbele Katika Kuijenga CHADEMA Kata Ya Makanya Na Ndie Aliekua Mwasisi Wa Ujenzi Wa Ofisi Ya CHADEMA Kata Ya Makanya, Alitumia Muda Wake Mwingi Nakujitolea Katika Shughuli Za Chama Uongozi Wajimbo Kamwe Hautasahau, Ikumbukwe Kata Ya Makanya Ni Kapta Pekee Ambayo Inaongoza Kwa Upinzani , Taratibu Za Mazishi Zinaendelea Nyumbani Kwake Makanya Na Baada Ya Familia Kutujuza Atakapo Zikwa Tutawajulisha Wote, Mungu Ametoa Na Pia Ametwaa

Daah I Cant Believe R.I.P Kamanda
 
Poleni sana watu wangu wa Makanya, muda si mrefu ntakuja huko kuungana na nyie.

Inalilahwainailah rajiun.RIP Kamanda
 
My God!! Nimeshtuka Sana Kupata Taarifa Hizi, Nakumbuka Marehemu Alipo Tuhamasisha Kuchangia Fedha Tuka Jenga Ofisi Na Kununua Thamani Za Ndani, Tuliwah Kusafir Kwa Bodaboda Toka Makanya Kwenda Nkwini, Mgwari, Kasapo, Makongoro Hadi Chankoko Kutangaza Chama Na Kupokea Makamanda, Hakika Nimeguswa Na Msiba Huu Na Nipo Arusha Ila Asubuh Na Mapema Nitasafiri Kurudi Kijijini Kushiriki Mazishi, Natuma Salam Za Rambirambi Kwa Mwenyekiti, Katibu Na Viongozi Wa Bawacha Na Bavicha Kata Ya Makanya, R.I.P ANDERSON I Cant Believe That

Thamani za ndani ndio kitu gani
 
Ndugu Wana Jamii: Hakika Mungu Ametoa Na Mungu Ametwaa, CHADEMA Wilaya Ya Same Imepata Pigo Baada Ya Kuondokewa Na Naibu Katibu Wa Chadema Kata Ya Makanya Ndugu Andersoni Nikundiwe Ambaye Alifariki Majira Ya Asubuhi Leo 20/09/2014, Ikumbukwe Ndugu Andersoni Alikua Mstari Wa Mbele Katika Kuijenga CHADEMA Kata Ya Makanya Na Ndie Aliekua Mwasisi Wa Ujenzi Wa Ofisi Ya CHADEMA Kata Ya Makanya, Alitumia Muda Wake Mwingi Nakujitolea Katika Shughuli Za Chama Uongozi Wajimbo Kamwe Hautasahau, Ikumbukwe Kata Ya Makanya Ni Kapta Pekee Ambayo Inaongoza Kwa Upinzani , Taratibu Za Mazishi Zinaendelea Nyumbani Kwake Makanya Na Baada Ya Familia Kutujuza Atakapo Zikwa Tutawajulisha Wote, Mungu Ametoa Na Pia Ametwaa

Poleni sana kwa msiba mzito ulioupata makamanda.
 
poleni sna wa ndugu wa makanyaa, ukoshakua chadema wewe ni familia moja, poleni sna..
 
Tuko pamoja sana poleni sana wana familia kwa kipindi hichi kigumu na chama cha Ukweli Chadema kwa kuondokewa na Kamanda huyu wa ukweli hakika katangulia na sie twafata atii.Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom