Anne Kilango ajitangaza kuwa 'mbunge wa maisha' wa Same Mashariki

Alicho kosea alijichanganya alianza vizuri,alikuwa akikemea maovu serikalini lakini baadaye akawa walewale. Akayarudia matapishi yake mwenyewe...alisahau kuwa akumulikaye mchana usiku lazima akuchome, sory for her it is her loss.
 
Back
Top Bottom