Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Litvinienko, Jul 3, 2012.

 1. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kuhusu mtu wa usalama aliyepigwa na madokta siku alipoletwa Dr Ulimboka MOI baada ya kutekwa na kupigwa sana.

  Zimefichuka baada ya Mlinzi (Chui Security wanaolinda MOI) kuitwa na kwenye kituo cha polisi Salenda BRidge na Askari anayeitwa Suzzie.

  Alipofika aliwekwa kwenye chumba ambapo baada ya kusubiri kwa muda walikuja watu watatu wasio na gwanda na kujitambulisha kuwa wanausalama.

  Walimuambia kuwa awape jina la daktari yeyote wa MOI ambaye hapatani nae halafu waandae document inayoonyesha kuwa huyo alimuona huyo dokta akiokota redio call/bastola na ataisaini hiyo document kama shahidi.

  Aliahidiwa kuwa akifanya ivo atapata kazi usalama wa taifa, sambamba na donge nono la pesa.

  Askari huyo (jina kapuni) alikataa kufanya ivo kwa sababu siku ya tukio hakuwa kazini.

  Alifukuzwa kama mbwa baada ya kukataliwa njama yao.

  My Take:
  Serikali bado ina nia mbaya na huenda tukio lingine likatokea kwa dokta mwingine.
   
 2. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwachie Mungu, hawawezi kupambana na umma
   
 3. g

  gabatha Senior Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndo maana watu wanataka tume huru kuchunguza tukio la kutekwa dk.ULIMBOKA
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  loading.........
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwani wewe unapoambiwa magereza yamejaa watu wasio na hatia huwa unafikiria ni nini? Yaani polisi wa Tanzania ni full burudani, wenyewe wanakubambikia tu kesi na wanaleta ushahidi kibao ambao haujawahi kuwepo ilimradi tu ufungwe. Na usiombe ubambikiziwe kesi ya ujambazi sugu maana utafungwa maisha.
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Being in this land,!!!!? what a curse!!!? Shame on me!
   
 7. M

  Mkojo Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi imesha anguka hii! jamani! kama tumeshindwa kuandamana ili tuwatoe basi tumwombe mungu usiku na mchana ili awachukulie mbali hawa viongozi dhalimu.
   
 8. F

  Froida JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Tulisha sema Raisi Jakaya Kikwete ni anatabia za kishetani, jini pepo baya na ndiyo maana haishi mlingotini anachotaka kuifanyia nchi hii kitamrudi mwenyewe angalie wenziwe wakina Gaddafi,Sadamu,Mubaraka walikuwa na nguvu za giza kama zake ,sasa wanataka kuua daktari mwingine
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sugu kawaambia jana ni Janjaweed wao wanakuja juu. Kweli ukila nyama ya mtu huwezi kuacha!
   
 10. s

  simon james JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inadhìhirisha wao wanahusika 100% na swala la ulimboka. Waandish wa habari mtafuteni huyo security mpate habari kamili muujuze uma ujue uovu wanaofanya usalama na polic dhid ya wananch
   
 11. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Naamin kwa uwezo wa MUNGU mwez huu hauishi serikali itaumbuka (ameni)
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  dawa ya jazba inapatikana wapi wadau?
   
 13. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Vita ni ya Mungu hakika watanzania tutashinda kwa kuwa tunategemea Mungu.
   
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  he he he he! hii nchi imo shimoni tayari, kha! kweli no justice duniani! aibu yenu ccm kha!
   
 15. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iko msituni,
  the barrel,
  The singlet,
  The trigger,
  The TNT and,
  the copper on the very far end
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwa style hii ni kweli kabisa simbachawene hakufamaniwa! hii ccm hii!
   
 17. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wadhalimu watakwisha.
  hata kama si leo
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pumba.com

  Ukileta pumba hapa angalau jipange kidogo ili zionekane kama ukweli.
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mimi nina wasiwasi sana na dr ulimboka kwa sababu yeye is the main witness anajua exactly ni akina nani wamemtesa, hao watu watakua wanapanga mipango huyu jamaa asiishi coz hii kesi ikipelekwa mahakamani dr ulimboka itabidi asimame pale na aongee kila kitu na kuwataja kwa majina...this guy is marked for death.
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii dhambi ya kungoa kucha na meno ya Ulimboka itaendelea kuwatesa pamoja na damu yake!
   
Loading...