Recent content by simon baker

  1. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    nakuelewa sana mpwa... cha msingi tuzidi kutafuta hela... yani mimi nikiangalia nilipo ..kuna vitu petty siwezi engage kwakwel... Mungu akikubariki...bariki wengine
  2. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    Brother ..unajua kuna maisha ukiishi kiroho inasaidia kuwa na busara kwenye maisha ya kimwili..... No matter what huyo mtoto mdogo anakama 6 hivi kama sikosei...kampani yake sana ni hawa kaka zake (wakwangu) kwa miaka mitatu mfululizo hawa wakijaga likizo ye huwa anabaki na wala sikuwa napenda...
  3. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    Mkuu tupo pamoja ase... 1. Maumivu yalichukua takriban mwaka...ila ase Mungu anasaidia ,,ujue hata sasa namba nime save ila nime mute kila kitu yani hata aki post sijui au akinicheki whatsapp au mitandaoni nachelewaga kumuona au ku pata notification mpaka anitafute normal texts etc...inshort huu...
  4. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    this is what i did mkuu asante Mungu alibariki movement
  5. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    Hii kauli hajawahi kuitoa ase..huyu ninja kweli kweli...
  6. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    This was 8 years ago mkuu...nime move on salama na amani
  7. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    karibu mkuu nimetoa juu juu apo
  8. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    ***UPDATES Hellow team Hii ni updates kuhusiana na post yangu ya tarehe 19/10/18 8 years imepita tangu yaliyonisibu..... well kwa ambao hawakuwepo au kutojua kwanza a praying soul is all one needs to grow further...... Kwanza kipind kile kwa kweli ndoa ilisumbua jamani kutokana na vitu...
  9. simon baker

    Ndoa yangu ipo ICU !dah

    you pressed the wrong button...uzuri nimekua sana ila pia sijaacha retaliate.."weak man baba yako '' hahaha back to basics...ase ntashusha mrejesho hapo chini mda si mrefu mpwa
  10. simon baker

    Mume wangu hajibu sms, kisa nilienda kumwangalia mgonjwa bila kumuaga

    ulipotoka na ukaenda unapajua.... huyo mumeo atakuwa anaku track...sijajua kwa simu au kwa wadau.... kuna kitu katonywa/kaona kwakukufwatilia...uzuri ni mumeo wa ndoa, ngoja naye akaushe uko apate sababu... kesho kutwa mkiwasiliana wote iwe bila bila
  11. simon baker

    Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    mkuu i am the same case as you...toka nikutoke....sadly huyu wangu bro hana mtoto wala nini..alafu hataki kujishugulisha..na nimsomi ana degree kabisa...ye nikukaa vilabuni full time ukimuona hata kama unataka mpa kazi unaweza ogopa..kazeeka kisa pombe..wameombea mpaka basi..sober kakaa mwaka...
  12. simon baker

    TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

    Aya vijana kazi kwenu..mkipokea email mlete mrejesho tafadhali
  13. simon baker

    Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

    kuna mwenzio nae huku kisirani kama wewe ila mi nabembeleza sana napo kosea.. ikifika wakat anaileta tuna reconcile mambo yanaenda..
  14. simon baker

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    nimejion mzee baada ya hizo fantasy zote kuzifanya miaka zaid ya 3-5 nyuma na ndo kwanza 37now
Back
Top Bottom