Recent content by simingori memeni

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Bamm Solutions (T) Limited

    Hii ukipiga utambiwa tuma kwanza hela
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Naomba namna ya kumpata Yule mwalimu wa treining kwa mikoani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fursa jijini Mombasa

    Interest naomba kujua kwa hiyo milioni Moja inatosha Naomba unieleweshe na kama kuna boder problem uniambie kaka.please naomba unijibu kwa email robbysiyanga@gmail.com
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dawa inayoitwa 'Kupona' na Unga wa Mchicha vinatafutwa

    Mimi sijui hii ni dawa ya nini sijawah kuiskia naomba kufamishwa pengine na Mimi ninahitaji
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe kitunguu saumu kinalipa hivi

    Nawezaje kupata mbegu nzuri na kwa heka moja nitaitaji mbegu kiasi gani nijibu Ndugu yangu navitataman sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Drip Irrigation System

    Hiyo ni nzuri ila ni muhim sana kuwa na pump kwa maana huwez kupata level moja shambani ni ngumu Labda iwe ni kwa bistan tu kwa matumiz ya nyumbani
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sipendi - Special thread

    Sipendi mtu kupiga sim saa za usiku na kuliza kama nimelala huwa wanafikiri nafuna mahindi inaudhi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mayai Mayai ya kware trei moja elf 15

    Fanya elfu kumi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Mtoa mada ni mlev milioni 15 inatosha sema kama ni limbkeni ni kidogo sana maana akili nayo bila maarifa ni ziro
Back
Top Bottom