Recent content by simbakali kityui

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Wamarekani sio watanzania hivyo wazungumzie kwanza ya kwao na waje kujifunza kwetu
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

    Hizo taasisi unazozisema zinafadhiri kampeni za mgombea wa ccm ni taasisi ya serikali ya chama cha mapinduzi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Mwaka huu chadema inapata tabu sana kupata watu wa kuhudhuria mikutano yake hii inaonyesha wameweka mtu asiyekubalika kugombea urais
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Baada ya kuona kampen za mwaka huu ni laini,mzee ameamua kula bata kwanza kusogeza muda,akitoka tu upinzani kwisha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

    Utakuwa umechanganyikiwa si bure,angalia vizuri human resource ya ccm ulinganishe na wavuta bangi wa chadema
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Nitastaafu uwakili, siwezi kuendelea kufanya kazi katika mfumo wa mahakama uliofeli

    Fatuma aache ujanja ujanja,hapo hasitaafu bali amefutiwa leseni,awe tu mkweli kuwa alikiuka professional ethics na hakuna namna anavyoweza kukwepa tofauti na huruma tu na utu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tumedanganywa tena, Tanzania haimo katika nchi kumi uchumi wake unaokua barani Afrika. Ukuaji wa 7% hautambuliki kimataifa

    Umedanganywa au wewe ndo umechanganya mambo? Waziri wa fedha alisema kwa sababu ya covid 19 ukuaji uchumi utashuka toka 7% hadi 5.5% na raisi amesema jana sasa nani amekudanganya?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini sukari imekuwa ni kama anasa kwa Tanzania na kwa mwelekeo hapa Serikali imechemka

    Kwa hiyo sukari ni maisha? Unalinganisha na mahindi, mchele na maharage? Ni kiasi gani cha watanzania kinatumia sukari kila siku?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu itashindwa kutekelezwa kwa sababu ya Political risk inayoikumba Tanzania kwa sasa, Prof. Mpango anajua ila kaogopa kuliongehili

    What is the effect of political polarization to Economic development? we have western and Eastern pact if one disturb us we go for the other, we are non Aligned country
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

    Kwani kuhoji unafanyaje? Polisi wanahoji kama waandishi wa habari? Wewe ndo mbowe mpaka useme hawajamhoji?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

    Wakati ccm wanawaponda chadema kwa namna wanavyoendesha siasa zao,chadema wao wako busy kuiponda nchi badala ya ccm!
  12. S

    JamiiForums Tanzania UNDP: In the long run, COVID19 will have significant risks to sectors in Tanzania especially tourism

    Hiyo ni paper writings tu,kwenye reality ni tofauti kabisa,hawa UNDP watasubiri sana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Kabisa CCM tunashangazwa kuanzia kesho!

    Dogo hana jipya,na itakuwa kuna mtu kamdanganya
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Usiufanye uzembe wa baba yako kuwa tatizo la kitaifa,unapoikataa ccm itachagua chama gani wakati havina watu makini?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa serikali ya sasa ni Diaspora gani alitolewa nje kuja kusaidia nchi?

    Dr mpango alikuwa ni Diaspora
Back
Top Bottom