Recent content by simba7

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kichekesho cha Wanyambo kujiengua kabila la wahaya!

    Tupeni somo sisi wengine hatujui historia ya huko kagera ingawa nimezaliwa kagera(bukoba mjini)
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    Je wa 70 au hawafai?kimtazamo wengi wameanza sura zao kujikunja
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Leta picha ya mji wa Njombe usidanganye watu bukoba IPO vizuri sana tofauti na Njombe ambayo inafanana na muleba
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Nchi hii hakuna msafi woote wezi,hamjapata nafasi tu msidanganyane Fulani fisadi mara hili mara lile woote njaa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chopa nyingine ya CCM

    Nasari hajapata ajali ya chopa wanamsingizia hapo ameanguka alikuwa anakata kuni kijijini kwao
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chopa nyingine ya CCM

    Ukawa watakatifu hata mgombea wao mtakatifuuu hana hata dosari hongera sana tena sana wafata mkumbo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Mbona mnamponda sana Lowasa?nani ambae hajawahi kuumwa?tuwe wastaarabu kidogo mmeambiwa vyombo tatizo mpaka kesho,subirini hiyo kesho mtaambiwa nini ndio mpayuke
  8. S

    JamiiForums Tanzania ITV imepotosha habari ya usiku juu ya Magufuli

    Acha dharau ww Mo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lowasa ukitaka kura yangu tueleze haya watanzania.

    Kama mnajuwa hakuna mkamilifu kelele za nini?25 octb chagua unaemtaka usilazimishe watu wahamie ukawa au wampigie Lowasa kila mtu na maamuzi yake
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    Mnasema mabadilikoo mabadiliko mnajuwa mabadiliko au mnafata mkumbo?wengine mmekaa vyuoni miaka dahali lakini pumba kabisa,kila siku mabadiliko je familia zenu mmebadili kwanza?au bendera kufuata upepo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Ukawa au Uchawa?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za maisha Manispaa ya Sumbawanga

    Pigs moyo konde ingia swax
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa una tatizo

    Kazi ipo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Afya ya huyu mgombea inatia shaka

    Waambie hao
  15. S

    JamiiForums Tanzania Maelfu wampokea Magufuli na kuhutubia Tunduma

    Na bado CCM mbele kwa mbele
Back
Top Bottom