Chopa nyingine ya CCM

Chopa nyingine ya CCM

libumi

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
58
Reaction score
13
Kati ya zile 4 za CCM zilizoongezwa kuongeza nguvu katka kampeni imepata hitilafu na aliyekuwa anaitumia Mh. Lusinde mbunge wa Mtera ameogopa kupanda tena helicopta hiyo na kuapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni.

Chanzo: Mwananchi
 
kwani hayo matakataka wameyatoa wapi? ndio tatizo la wizi na ufisadi ulio kubuhu mpaka wanajiibia wenyewe na kujifisadi wenyewe ona sasa yanawaletea shida.
 
Source: Mwananchi gazeti

kwani hayo matakataka wameyatoa wapi? ndio tatizo la wizi na ufisadi ulio kubuhu mpaka wanajiibia wenyewe na kujifisadi wenyewe ona sasa yanawaletea shida.

Ten per cent imesababisha kuondoa maisha ya wazalendo wengi sana wa nchi hii
 
Yale mandege sio biashara ni bora mtu ukazunguka nchi nzima kwa baiskeli Na yale mandege ni kama yana laana flani.
 
Tuwaombee wana siasa na watanzania kwa ujumla wamalize vema kampein za mwaka huu na kuwe na haki katika utangazaji wa matokeo.
 
Wamezoea kuiba hadi wao wanaibiana na kuleta vyombo vibovu.
 
Unajua tatizo hawa watu hawajui hivi kweli wanampatia pesa mpiga dili kwenda kuleta chopa kweli ni jambo la kushangaza sana
 
Ukawa watakatifu hata mgombea wao mtakatifuuu hana hata dosari hongera sana tena sana wafata mkumbo
 
hana akili huyo, inabidi aigope ccm yeye anaiogopa chopa ?
 
Kati ya zile 4 za CCM zilizoongezwa kuongeza nguvu katka kampeni imepata hitilafu na aliyekuwa anaitumia Mh. Lusinde mbunge wa Mtera ameogopa kupanda tena helicopta hiyo na kuapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni.

Chanzo: Mwananchi

Nina wasiwasi na chopa zao zitakuwa zimepitiliza masaa ya kuruka hazikutakiwa kuruka tena bila kurudishwa kiwandani na kufanyiwa matengenezo makubwa
 
mbona nassari nae alipona kwenye chopa na hamkupiga kelele???
 
kwani hayo matakataka wameyatoa wapi? ndio tatizo la wizi na ufisadi ulio kubuhu mpaka wanajiibia wenyewe na kujifisadi wenyewe ona sasa yanawaletea shida.
Na hii takataka CHADEMA waliitoa wapi mpaka kusababisha ajali?

Yaani CHADEMA wanaamua kujiibia wenyewe na kujifisadi mpaka wanasababisha ajali ya mbunge wao?

Kwa maelezo zaidi gonga hapa,

nasari.jpg
 
Chopa za ten % hizo lazima ziwaumbue.
Washazoea kupiga deal tu, sasa madeal yao mabovu yanawaumiza.
Halafu eti wanataka waendelee kutawala, nani kasema?
 
Nasari hajapata ajali ya chopa wanamsingizia hapo ameanguka alikuwa anakata kuni kijijini kwao
 
Back
Top Bottom