Recent content by Simba321

  1. S

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Naamini hii ni kazi ya Paskali, weka majina bwana hapa kabla sijalala, kesho kazini. Nasubiri hadi saa 9.30
  2. S

    JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

    Been reading this great piece, hakika JF ndiyo "gazeti" lililobaki kuibua hoja, kutupa nafasi nasi kuchangia bila woga. Mnastahili pongezi sana. Lakini bado kazi moja, tuleteeni habari alipo Azory Gwanda, maana hata waajiri wake wamemtelekeza. Hawamzungumzii tena, wamewaachia wazungu...
  3. S

    Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Dalili ni mbaya mno kwa serikali ya sasa kwa kuamua kugombana na maaskofu. Bila kupima uzito wala kutumia akili, angalau kidogo, Bashite amejipa majukumu ya ugomvi huo, akianza na mbinu dhaifu kabisa ya eti kuwachafua maaskofu ambao kimsingi, wana daraja la manabii. Machi 26 mwaka huu wakati...
  4. S

    Maofisa Usalama wauaji, yawakuta

    Tarehe 16 January 2017 Mahakama Kuu nchini Bangladesh ilitoa hukumu kwa maafisa ujasusi 26 wa nchi hiyo kunyongwa mpaka kufa,. Adhabu hiyo kwa wafanyakazi 26 wa usalama wa taifa nchini Bangladesh ya kunyongwa mpaka kufa inatokana na kuhusika kuwatesa, kuteka, kutia vilema na kufanya mauaji ya...
  5. S

    Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

    Nimeshangaa. Hakika nimelia baada ya kusikia eti Shilingi milioni zitatumika kumzika binti aliyepigwa risasi na polisi Dar es Salaam, Aquiline Akwilini. Najiuiza, pesa zote hizo za nini? Kwanini wasipewe wazazi wake zifanye mambo mengine ya maana ikiwamo kusomesha wadogo zake na kupatikana kwa...
  6. S

    Lissu, Aquiline limewaganda. 'Wasiojulikana' wajilaumu

    Habari za uhakika ni kwamba Watanzania sasa wameanza kupata akili kubwa. Hawataki tena kuburuzwa, pamoja na kwamba dhambi ya woga bado inaendelea kuwang'ang'ania. Yaani kupigwa risasi 38 kwa Tundu Lissu zaidi ya miezi sita iliyopita, bado wabongo wanaendelea kumzungumzia. Siyo kama zamani, ishu...
  7. S

    Je, Tsvangiria alipewa sumu?

    Mengi yanaweza kuelewa, lakini kikubwa ni kwamba mpinzani wa kweli nna mwanafunzi kindakindaki wa Zimbabwe, Morgan Tsvangiria amefariki dunia. Lakini kuna tetesi kitoka kwa watu wake wa karibu kuwa kiongozi huyo alipewa sumu ya kummaliza taratibu. Waliofanya unyama huo ni "viroboto" wa...
  8. S

    Nani anaua watu wetu?

    Tanzania ya Mwalimu Julius Nyerere sasa inabadilika kwa kasi ya ajabu; unatoka kuwa nchi ya amani na sasa inagubikwa na matukio ya mauaji ya raia kila uchao. Kibaya zaidi wanaouawa siyo vibaka. Ni viongozi wa vyama vya siasa, hasa kutoka vyama vya upinzani. Pia wanaouawa, kutekwa na kupoteza...
  9. S

    Wasomi, waandishi wamejaa woga. Hawatufai

    Sijui Tanzania inaelekea wapi? Yaani kila mmoja amegeuka kuwa mtu wa hovyo. Hakuna mwenye msimamo wala uthubutu wa kusimamia kile anachokiamini. Sijui nani katuroga masikini ya Mungu. Wajinga na wale wasiondesha shule, siwalaumu sana. Lakini nalia na kusaga meno kwa hawa wasomi wetu na...
  10. S

    Afrika: Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim 

    Jamani Jamani, JK anakosa hivihivi. Ametenda mema sana, achilia mbali udhaifu wa kibinadamu na kukumbatia wapigaji.... Msinihukumu
  11. S

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Ni muda sasa tangu kuwepo kwa taarifa kuwa Spika wa Bunge letu la Jamhuri, Job Ndugai anaumwa na kwamba amesafirishwa kwenda India kwa matibabu zaidi. Lakini ajabu - siyo Bunge wala Serikali wanaotueleza anasumbuliwa na ugonjwa gani. Pamoja na kwamba ugonjwa ni siri ya anayeugua, lakini kwa...
  12. S

    Makonda anaposigina taratibu, sheria, je, aachwe tu?

    Niliamua kumpuuza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mambo yake; hasa uamuzi wa hovyo anaoutoa kila mara anapokutana na umma anaouongoza. Uamuzi wangu ulitokana na namna anavyojiweka kwenye kiti cha enzi na kusahau kuwa naye ni binadamu, mwajiriwa, mtumishi na zaidi sana anavyojiapiza kuwa...
  13. S

    Kwa hili, PSPF ni mfuko bora zaidi

    Siwezi kuwatangazia biashara mkuu, naweka tu namna wanavyoweza kuwanufaisha wastaafu na wale watarajiwa.
  14. S

    Kwa hili, PSPF ni mfuko bora zaidi

    Mkuu, aksante, kinachofanyika kwa hawa jamaa, ni kuhakikisha wanampanga na kumwelimisha mstaafu ili asitumie fedha zake bila mipango yenye kumhakikishia maisha endelevu, bila kugeuka ombaomba baada ya kumaliza fedha zake bila kuzifnyia kazi inayomwezesha kupata hayo maendeleo. Lakini pia zipo...
Back
Top Bottom