Je, Tsvangiria alipewa sumu?

Ishimba

Member
May 19, 2017
22
84
Mengi yanaweza kuelewa, lakini kikubwa ni kwamba mpinzani wa kweli nna mwanafunzi kindakindaki wa Zimbabwe, Morgan Tsvangiria amefariki dunia.

Lakini kuna tetesi kitoka kwa watu wake wa karibu kuwa kiongozi huyo alipewa sumu ya kummaliza taratibu.

Waliofanya unyama huo ni "viroboto" wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Dk. Robert Mugabe ili kuepusha usumbufu.

Mmoja wa wadogo wa Tsvangiria alisema tuhuma hizo mwaka jana, lakini alidakwa na vyombo vya usalama na akakaa kimya. Juzi kakinukisha tena
 

Attachments

  • IMG_20180216_230113.jpg
    IMG_20180216_230113.jpg
    60.4 KB · Views: 69
Morgan tsavangirai namkumbuka kwenye uchaguzi wa mwaka 2005 akiwa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nadhani kwenye ule uchaguzi alishinda kihalali kabisa mzee Mugabe akaona hapa akiachia ni balaa ni bora waunde serikali ya umoja wa kitaifa.
Nadhan kati ya watu waliochukiwa zaidi na Mugabe ukitoa wazungu anafuata huyu.
RIP Morgan you done your job in this universe.
 
Awali walimkosa kwa ajali ya gari, ikamuuua mkewe, haya madai ya sumu lazima watu wafukirie hivyo mbona haya Mbangagwa alisema hata yeye alipewa sumu?

Vv
 
Sumu? Huyo jamaa alikuwa Na kansa Na Wala usimsingizie Mugabe
Kwani kansa ni jamii ya nn na inatengenezwa maabara kama ulikuwa hujui na ndi ugonjwa unaotarajiwa kuchukuwa nafasi ya ukimwi kwa nchi za afrika freemason watakapoleta kinga dhidi ya ukimwi na matibabu yao ifikapo mwaka 2030...
 
Kwanini siyo complications za HIV iwe ni sumu mbona alikuwa anakula mademu sita sita kama alivyopigwa picha mara kadhaa yeye ni nani asipate
 
Hilo linawezekana kabisa kufanywa katika utawala dhalimu wa dikteta uchwara Mugabe.
Radiation poisoning frompolonium-210 looks like the end stage of cancer, Dallas said. Liver and kidney damage ensue, along with extreme nausea and severe headaches. Victims often experience vomiting, diarrhea and hair loss.
Hiyo ndio aina ya sumu inayotumika kuua watu mashuhuri akiwemo Yasser Arafat
 
Haya kazi kweli ngoja nirudi shambani nikakague mihogo yangu maana yule nanihii Papaa wa mwaka kabla ya kristo yaani 210bc hajambo kwa wizi wa mihogo
 
Back
Top Bottom