Recent content by simba ramadhan

  1. S

    Pongezi kwa kampuni ya TAHMEED kwa kuagiza mabasi 26 mapya

    Watu wa masoko utawatambua kwa mbinu zao.
  2. S

    Kitendo kilichofanywa na polisi Dodoma na Kilimanjaro hatutakivumilia tena

    Hamna lolote CHAGADEMA nyie.Eti watetezi wa wanyonge-waganga njaa WAKUBWA mliojaa uchu wa madaraka!Labda mkatawale kwa shetani na si hapa Tz.
  3. S

    Milio ya Risasi Yasikika Nje ya White House USA

    Kijana,una hatari kubwa mbele yako.
  4. S

    Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

    Wa kimataifa mwenzangu upo uwanjani?Km ndivyo,uwage unatupia kinachojili.Nipo Bukavu,Congo huku hamna hata Azam tv.
  5. S

    Kesi ya Kitilya, Sioi na Shose Sanare kutajwa tena June 02, 2016

    Sioi Sioi,baba mkwe si baba.Baba yako ni alite kuzaa tu.
  6. S

    BAVICHA wamvaa Rais Magufuli na Jaji Mkuu

    Haya JM hafuti sasa kauli yake,fanyeni mnavyotaka na mkileta fyokofyoko tunadili nanyi kifyokofyoko.
  7. S

    Waziri Nape Nnauye, lazima CCM itatoka madarakani

    Ungetambua siasa si zaidi ya wazazi usingediriki kuwaita wenzio misukule!Hapa ni eneo la kushindana kwa hoja na si kuwaita wapinzani wako majina ya ajabu.Nimefanya hivyo kwa sababu ww unataka hivyo.Tukubali kutokukubaliana na ndg na tusibatizane majina ya ajabu ndg.Nisamehe km nilikukwaza nami...
  8. S

    Waziri Nape Nnauye, lazima CCM itatoka madarakani

    Inawezekana kabisa CCM kuondolewa madarakani,lkn kwa chama kipi mbadala?Je,kwa vyama hivi hivi visivyo na dira ya dhati na vinavyotegemea zaidi matukio ili vimee?Tupa tupa kwa vyama vya upinzani hivi tulivyonavyo leo,CCM bado itaendelea tu kutawala.Lazima wapinzani wetu waanze kujikita sasa...
  9. S

    Waziri Nape Nnauye, lazima CCM itatoka madarakani

    CCM ndiyo chama dola km hutaki kufa.CCM haitatolewa madarakani na viji-saccos vyenu iwe kwa namna yeyote mnayoijua nyinyi.Tunauwezo wa kuwafanya chochote na msitufanye lolote saccos nyie.Na ukileta fyokofyoko tunadili na ww km fyoko.Wahuni tunadili nao kihuni na werevu tunadili nao...
Back
Top Bottom