PRINCE JOKES
SIJUI nani alimdanganya akaibuka na kumzodoa Rais wa TFF, Wallace Karia mara baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni.
Najua ulimsikia Haji Sunday Manara alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni.
Kama ulimsikia...
Sikupenda hili litokee kwa huyu dada lakini sasa nimeamini Mungu analipa hapahapa duniani. Huyu dada kuna kitu kibaya alinifanya wakati akitangaza kipindi cha filamu cha EATV. Nilimpigia simu na kumuomba anisaidie kuhusu filamu niliyoibiwa na msanii mmoja mkubwa, akanipuuza. Nilipofatilia...
Naamini humu kuna kila aina ya watu wanaoweza kunielimisha kuhusu hili. Hivi ni benki gani hapa nchini ambayo inalipa interest nzuri katika ule mpango wa Fixed Account? Mfano ukiwa na milioni moja baada ya miezi sita unaweza kupata kiasi gani, au baada ya mwaka? Please naomba msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.