Story ya huyo baba imenitoa machozi asubuhi,kama mwanamke na mama nimejiskia vibaya sana ila Mungu ni mwema na ana kusudi kumleta huyo binti kukiri na kusema ukweli kuwa baba yake hakumbaka,hopefully mzee atapata haki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yashawahi kunikuta nilikuwa na rafiki wa hivyo,na kuna siku alikiri kwamba ashawahi kumuuliza mganga kama mimi namroga,Mungu saidia mganga akamwambia sijawahi kumroga,nimevunja naye urafiki coz nimeona huko mbele anaweza kuniletea shida na nilikuwa na urafiki naye kwa zaidi ya miaka 10...
Toa hela bhana ukianza maswali ya kabla ya wewe alikuwa anahudumiwa na nani naye ukimuomba papuchi anaweza kukuuliza kabla ya yeye alikuwa anakupa nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnajipanga kuwaliza wastaafu wa watu maana nikiangalia hapo naona kabisa mshasoma na tarehe zao za kupata mafao
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda maalum utaulimit vipi ikiwa unapigwa kwenye bodaboda na bajaj mtaani masaa yote na wanazunguka mitaani kupeleka abiria!?jana saa tano asubuhi nimepishana na daladala inapiga huo wimbo na ilikuwa garage ya mtaani watoto wanacheza pembeni yake....bora ulivyofungiwa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.