Recent content by silverita

  1. S

    Ushauri tafadhali

    ni hilo tu mpendwa!!!
  2. S

    Ushauri tafadhali

    Habari wana MMU Ushauri wenu unahitajika wapendwa Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu Mimi ni mwanamke wa miaka 30, nimeolewa ndoa halali na nina mtoto mmoja. Kinachonifanya mpaka niombe ushauri kwenu wadau ni kwamba hapo awali wakati tunaanza maisha na mme wangu mimi sikuwa na kazi...
  3. S

    Fanya haya uepuke kuchunwa...

    Ama kweli kizazi bahili hiki,kama vipi tengenezen hata papuchi za kwenu ili muepuke kuhonga!!lo!,kama hamtafanya hivyo hela zenu mtatoa tu tena sana!,chezea power ya mwanamke wewe!!,kwanza sipaswi kukuomba hela ila wewe utajikuta unatoa tu! ni wajibu Wako tang Enzi na Enzi!
  4. S

    Kuhusu Mama...Hii imekaaje?

    Kijana unapenda kulelewa wewe lo!!!,mara ya mwusho kumtumia hela mamako lini, inaonesha mama amekuchoka kwa ubahili wako!!badilika
  5. S

    Kwa ujumla sifa za mume mwema ni hizi hapa

    Kazi ipo!!,wanaume wenyewe hawa wakulialia MMU kila siku lo!
  6. S

    Je nimsubiri?

    Pole bidada, inaonekana hujui thaman yako, hata kama takwim zunaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume hupaswi kukubali kugeuzwa mchepuko aka spare tyre,kusoma hujui hata picha huelewi, jiandae kila wanapotofautiana we unakuwa kipozeo log!
  7. S

    mwenzemu jamani sijielewi!

    jaman hata mimi kiroho kinadunda tangy muda ule nikuone kanisani, Jumapili ijayo ntahitahid mpaka tuonane baby pendael!!
  8. S

    Weird

    Mh jiangaliea hata wewe asijekuambukiza hizo tabia
  9. S

    Why wanapenda maongezi ya simu?

    Haya mapenzi bwana,mi nilikuwa napenda kupiga Simu kwa mpenzi wangu mda wote bila kujua nilikua namkera,alikuja nibwatukia neno sitasahau!!moyo wote ulikufa ganzi,nikawa simtafuti hadi anitafute yeye!,akaanza tena kunilaum ohh mbona siku hizi hunipigii, mara umepoa sana!
Back
Top Bottom