Je nimsubiri?

Je nimsubiri?

real love never die mie nakusuppor sana kuwa huo ndio upendo na si ubabaishaji
 
Duuuuh....
Kupanga ni kuchagua!!! Chagua lililo jema kwako kama anakupenda mwambie umechoka kuvumilia arudi kwako na muishi hvyo hvyo bila kupata hiko kitu maana inaonekana mwanaume yupo kifaida zaidi sasa we mkishazoeshana hayo mambo kuna siku mpo kwenye ndoa atakuambia sasa wife kuna jimama huko inabid aje kuish hapa na wewe uwe hausigel just kwa week na tutapata kitu kikubwa sana.......

Word...point taken
 
Word...point taken

Kwa jinsi nnavyowafahamu mabinti, nna wasiwasi ushauri woote uliopewa utaingilia sikio la kulia utokee la kushoto. Mpaka yatakapokufika ndio utarudi hapa kulia
 
mh mh haaaaa hapo simo unaujua ubongo wa mtu endelea yangu mawani
 
real love never die mie nakusuppor sana kuwa huo ndio upendo na si ubabaishaji

we acha mambo ya ajabu usimshauli mwenzio ujinga yeye kweli anaupendo wa kweli lakini mwenzie hana, harafu we unataka aendehukohuko kwenye majanga acha ufala bana, we bidada achana na hicho kimeo wameongea mengi akili kukichwa it take two to tangle
 
Pole bidada, inaonekana hujui thaman yako, hata kama takwim zunaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume hupaswi kukubali kugeuzwa mchepuko aka spare tyre,kusoma hujui hata picha huelewi, jiandae kila wanapotofautiana we unakuwa kipozeo log!
 
Ilianza kama utani kutumiana message za kirafiki,kuchekeshana hadi leo ninavyoandika hivi.mwaka jana ilitokea nimetokea kumpenda mkaka ambaye tulikua marafiki na alikua ananishauri kwenye mambo mengi tofauti ya maana, urafiki uliendelea huku akionesha kuwa hana mahusiano yoyote yale hadi siku nlipogundua kuwa yupo kwenye mahusiano na mdada mwingine.
Baada ya kugundua na kumuuliza alisema nimvumilie ananipenda kwa dhati na mimi ndio mwanamke wa maisha yake,kwa kua nilimpenda nilivumilia yote aliniambia aliangukia mikononi mwa huyo dada mwingine baada ya kuumizwa na binti aliekua akimpenda kwa dhati nikaona sababu amekua wazi na kumpenda nampenda kumpoteza sitaki nikavumilia hadi pale maji yalipofika shingoni....
Pale ambapo yule dada alipoanza vitimbwi nikaona sio kesi nikamwambia kaka chagua moja kama ni mimi au huyo mwenzangu nikampa muda wa kukaa kutafakari yupi anaona kwake atamfaa kwenye maisha yake siwezi kuficha niliumia sana kutowasiliana naye kwa kipindi kile hadi siku atakayotoa maamuzi.siku ikafika kaka akasema nimeona bora kuwa na wewe na sasa tupo kwenye mahusiano halali nilifurahi sana nikaona sasa nimepata mtu wa kufa na kuzikana
Kwa kufupisha sasa amesema hawezi kuwa na mimi kwa sasa maana hatafanikisha malengo yake kwa kua akiwa na mimi namdekeza,namfanya aone kama yupo likizo anaomba arudi kwa x wake akakamilishe mipango yake baada ya hapo turejeshe mahusiano yetu rasmi hadi sasa tunaonana,hatujaachana rasmi ingawa huyo dada hajui hiki kitu imekua siri kubwa kati yetu sisi...
Maumivu ninayopitia kumuona yupo na huyo dada mwingine ni makubwa na mazito nimejaribu kila njia labda atatoka kichwani nimeshindwa..nampenda kutoka moyoni sio siri
Moyo unaniambia mvumilivu hula mbivu akili inaniambia niondoke
Uran amefanya nifunguke hapa
Bado najiuliza je nivumilie maana aliniambia hadi mwezi wa saba mambo yatakuwa sawa atarudi rasmi kwangu baada ya kupata anachokitaka huko
Kwa kua nakijua anachokitaka naona kama ana point maana mimi sitamsaidia na sina uwezo wa kumsaidia hicho anachokitaka kwa huyo dada
JE NIMSUBIRI?????

Binti endelea na mipango yako. Tena uwe busy kweli maana time has a funny way of healing situations. Sababu zangu ni hizi:
1. Matters of the heart hazipewagi leave. Yaani eti mpaka July nitakua nimekamilisha kumuacha so and so ili niwe nawe...this is utter nonsense and yor are prolonging the inevitable! Kama anakupenda kweli angekuchagua wewe long. Wanaume wanafahamu wanachokihitaji from the very first day. Kwa kifupi jamaa anamuhitaji huyo bibie na sio wewe.
3. Kuacha, kumuacha, kuachishwa na kujiachisha zote ni situations ngumu. Pick one and stick to it. Navyoona hapa wewe ndio unacontrol yatayokutokea.
3. Heartbreak is a bitch. Yaani yale maumivu ya moyo unayoyapata ndio hivyohivyo yanaumaga kama u trully care for your partner kwahiyo unachojisikia wewe sio kigeni. Wengi sana wamepitia hali hiyo na maisha yanasonga eventually.
4. Good news ni kuwa "better to have loved and lost than to have never loved at all". Good luck
 
Kuna wanawake wa jabu sana duniani

Hivi waliposema mwalimu wa mwanamke ni kipofu wewe ndo ukaamua kuongezea kuwa mwalimu ni kipofu kiziwi bubu!!!!

Una ubongo kichwani binti?

Hujioni unavyotumika?

Huna tofauti na walw wanaosubiri mke afe aolewe yeyw

Saaa wewe utasubiri sana utaishia kuwa kidumu

Shtuka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ilianza kama utani kutumiana message za kirafiki,kuchekeshana hadi leo ninavyoandika hivi.mwaka jana ilitokea nimetokea kumpenda mkaka ambaye tulikua marafiki na alikua ananishauri kwenye mambo mengi tofauti ya maana, urafiki uliendelea huku akionesha kuwa hana mahusiano yoyote yale hadi siku nlipogundua kuwa yupo kwenye mahusiano na mdada mwingine.
Baada ya kugundua na kumuuliza alisema nimvumilie ananipenda kwa dhati na mimi ndio mwanamke wa maisha yake,kwa kua nilimpenda nilivumilia yote aliniambia aliangukia mikononi mwa huyo dada mwingine baada ya kuumizwa na binti aliekua akimpenda kwa dhati nikaona sababu amekua wazi na kumpenda nampenda kumpoteza sitaki nikavumilia hadi pale maji yalipofika shingoni....
Pale ambapo yule dada alipoanza vitimbwi nikaona sio kesi nikamwambia kaka chagua moja kama ni mimi au huyo mwenzangu nikampa muda wa kukaa kutafakari yupi anaona kwake atamfaa kwenye maisha yake siwezi kuficha niliumia sana kutowasiliana naye kwa kipindi kile hadi siku atakayotoa maamuzi.siku ikafika kaka akasema nimeona bora kuwa na wewe na sasa tupo kwenye mahusiano halali nilifurahi sana nikaona sasa nimepata mtu wa kufa na kuzikana
Kwa kufupisha sasa amesema hawezi kuwa na mimi kwa sasa maana hatafanikisha malengo yake kwa kua akiwa na mimi namdekeza,namfanya aone kama yupo likizo anaomba arudi kwa x wake akakamilishe mipango yake baada ya hapo turejeshe mahusiano yetu rasmi hadi sasa tunaonana,hatujaachana rasmi ingawa huyo dada hajui hiki kitu imekua siri kubwa kati yetu sisi...
Maumivu ninayopitia kumuona yupo na huyo dada mwingine ni makubwa na mazito nimejaribu kila njia labda atatoka kichwani nimeshindwa..nampenda kutoka moyoni sio siri
Moyo unaniambia mvumilivu hula mbivu akili inaniambia niondoke
Uran amefanya nifunguke hapa
Bado najiuliza je nivumilie maana aliniambia hadi mwezi wa saba mambo yatakuwa sawa atarudi rasmi kwangu baada ya kupata anachokitaka huko
Kwa kua nakijua anachokitaka naona kama ana point maana mimi sitamsaidia na sina uwezo wa kumsaidia hicho anachokitaka kwa huyo dada
JE NIMSUBIRI?????
.....pole dada umeshaliwa wewe,mana walisema wahenga wajinga ndiyo waliwao,you are just like a side plate which a man use to empty his stress...hivi siku akija na kusema hakutaki utafanyaje?acha utoto?songa mbele na maisha yako....
 
yaani unanisikitisha sana kusoma umeshindwa na picha huoni, kha! huyo ni mbwa hakufai tafuta binadamu uwe nae
 
Inabidi mababu zetu watengue baadhi ya methali kama hii ya "Eti uvumilivu ula mbivu"
 
endelea na maisha yako dada, maisha ni mafupi kwa kuanza kusubiriana
 
kufanya kosa sio kosa,kosa ni kirudia kosa.sasa wewe you are beyond stupid (forgive my harshness) hata kama love is blind huwezi kabisa kuona kama ---------?huoni kwamba jamaa kakudharau?my advice,move on and forget him.yes its going to hurt,yes there are times utatamani kurudi kwake but mwishoni utasahau na utampata anayekupenda na kukuheshimu.good luck
 
Mie nina ugonjwa wa kutokuamini wanaume! Iko hvi huyo kaka aliamua kukuweka kwenye chati bibie na kumdamp msichana wake coz ulikua na mshawasha naye, sasa ameshapga mbizi za kutosha kwako amekumbuka uwanja wake wa nyumban ambaye ni ex wake, sasa endlea kujpa moyo atarud! Hebu amka uko fanya mambo yako mkaka no katimua kmya kmya,hzo nakupenda nk ni blah blah za wanaume!fungua macho
 
dia, tafuta kitu kimoja cha maana kwa ajili ya maisha yako kitakacho kukeep busy.. hapo ndo hivo jibu utakalo pata atakwambia umsamehe kwa kila kitu alichokufanyia hawezi kuwa na ww. naongea hivi ishu kama yako imenikuta. na nilikuwa nampenda kweli kweli. usisubiri upewe jibu yani ndo utaumia zaidi ya sasa.
 
Binti endelea na mipango yako. Tena uwe busy kweli maana time has a funny way of healing situations. Sababu zangu ni hizi:
1. Matters of the heart hazipewagi leave. Yaani eti mpaka July nitakua nimekamilisha kumuacha so and so ili niwe nawe...this is utter nonsense and yor are prolonging the inevitable! Kama anakupenda kweli angekuchagua wewe long. Wanaume wanafahamu wanachokihitaji from the very first day. Kwa kifupi jamaa anamuhitaji huyo bibie na sio wewe.
3. Kuacha, kumuacha, kuachishwa na kujiachisha zote ni situations ngumu. Pick one and stick to it. Navyoona hapa wewe ndio unacontrol yatayokutokea.
3. Heartbreak is a bitch. Yaani yale maumivu ya moyo unayoyapata ndio hivyohivyo yanaumaga kama u trully care for your partner kwahiyo unachojisikia wewe sio kigeni. Wengi sana wamepitia hali hiyo na maisha yanasonga eventually.
4. Good news ni kuwa "better to have loved and lost than to have never loved at all". Good luck

hapo umenena... huyo jamaa anamchezea akili tu hana jipya.. mnadhan huyo mwanamke mwingine yeye hana hisia.. the guy belongs huko si kwako na hiyo flirtationship yenu mliyo kua nayo kwenye simu.. pple stick pale wanapopata wanachokitaka bhana asikudanganye mtu... eti atarud July,"my eyeballs" jipe moyo maumiv yatakwisha af ujipange upya,hapo si kwako mama atakugegeda sana mpaka siku anaoa huko anakopata anachokitaka tena kama ni pesa ndiyo haziishag utamu yani..hyo july ikifika njoo leta majibu hum tuone.
 
Ilianza kama utani kutumiana message za kirafiki,kuchekeshana hadi leo ninavyoandika hivi.mwaka jana ilitokea nimetokea kumpenda mkaka ambaye tulikua marafiki na alikua ananishauri kwenye mambo mengi tofauti ya maana, urafiki uliendelea huku akionesha kuwa hana mahusiano yoyote yale hadi siku nlipogundua kuwa yupo kwenye mahusiano na mdada mwingine.
Baada ya kugundua na kumuuliza alisema nimvumilie ananipenda kwa dhati na mimi ndio mwanamke wa maisha yake,kwa kua nilimpenda nilivumilia yote aliniambia aliangukia mikononi mwa huyo dada mwingine baada ya kuumizwa na binti aliekua akimpenda kwa dhati nikaona sababu amekua wazi na kumpenda nampenda kumpoteza sitaki nikavumilia hadi pale maji yalipofika shingoni....
Pale ambapo yule dada alipoanza vitimbwi nikaona sio kesi nikamwambia kaka chagua moja kama ni mimi au huyo mwenzangu nikampa muda wa kukaa kutafakari yupi anaona kwake atamfaa kwenye maisha yake siwezi kuficha niliumia sana kutowasiliana naye kwa kipindi kile hadi siku atakayotoa maamuzi.siku ikafika kaka akasema nimeona bora kuwa na wewe na sasa tupo kwenye mahusiano halali nilifurahi sana nikaona sasa nimepata mtu wa kufa na kuzikana
Kwa kufupisha sasa amesema hawezi kuwa na mimi kwa sasa maana hatafanikisha malengo yake kwa kua akiwa na mimi namdekeza,namfanya aone kama yupo likizo anaomba arudi kwa x wake akakamilishe mipango yake baada ya hapo turejeshe mahusiano yetu rasmi hadi sasa tunaonana,hatujaachana rasmi ingawa huyo dada hajui hiki kitu imekua siri kubwa kati yetu sisi...
Maumivu ninayopitia kumuona yupo na huyo dada mwingine ni makubwa na mazito nimejaribu kila njia labda atatoka kichwani nimeshindwa..nampenda kutoka moyoni sio siri
Moyo unaniambia mvumilivu hula mbivu akili inaniambia niondoke
Uran amefanya nifunguke hapa
Bado najiuliza je nivumilie maana aliniambia hadi mwezi wa saba mambo yatakuwa sawa atarudi rasmi kwangu baada ya kupata anachokitaka huko
Kwa kua nakijua anachokitaka naona kama ana point maana mimi sitamsaidia na sina uwezo wa kumsaidia hicho anachokitaka kwa huyo dada
JE NIMSUBIRI?????
haahahah et je nimsubiri??? ww subiria maumivu tuu.
yan madem tuna danganyikaga ki***ge sana!
timua mbio mamaaa..
 
Ewaaa haya ndo mapenzi sasa...mahaba niue mahaba nitoe rohoo...
Binti usikate tamaa...endelea kuning'inia na uzi wa buibui darajani huku chini kuna mamba.....
 
Back
Top Bottom