Kijana inaonyesha unapenda bure....Lipa hela ya watu banaa!
Halafu eti anajiita Father. Hizi ni tabia za kifather kweli??!!!! Mimi amenishangaza sana kwa kweli. Huyu ndio wale ambao anaenda kukaa kwa mtu bila mpango eti kwa kuwa tu ni ndugu yake.Yaani mamako alikulea na kukulisha ukiwa mdogo. Na bado unataka aendeleze malezi? Una tabia mbaya, kwanza kabla hata hajakuambia umrudiishie hela ungetuma na ya ziada kabisa asiingie mfukoni kutuma vitu vyako! Ukiambiwa gharama ya kutuma ni laki 2 unatuma tatu kabisa just in case. Na usisahau kumtumia mamako hela hata kama hajaomba wala kuwa na kazi ya kukufanyia.
Huyu jamaa kaniudhi sana. Labda tumuulize umri wake, ukute ni kavulana ka miaka 14...Halafu unajiita " a father" yaani we unadhani mama ana jukumu la kukufanyia we kila kitu bure bure tuu.. We mwanaume wa aina gani? Unatutia aibu! Mwanaume majukumu kaka sio unakuja kulia hapa jf eti mama anakudai hela ya kukutumia vitu vyako. Khaa!
Yaani mamako alikulea na kukulisha ukiwa mdogo. Na bado unataka aendeleze malezi? Una tabia mbaya, kwanza kabla hata hajakuambia umrudiishie hela ungetuma na ya ziada kabisa asiingie mfukoni kutuma vitu vyako! Ukiambiwa gharama ya kutuma ni laki 2 unatuma tatu kabisa just in case. Na usisahau kumtumia mamako hela hata kama hajaomba wala kuwa na kazi ya kukufanyia.
Habari zenu watumiaji wa JF wenzangu?
Tupeane uzoefu kama ishawahi kukutokea, kwa wale tuliojaliwa kuishi na Mama.
Mama anaomba kurudishiwa gharama zake anazotumia juu yangu, mf: kanitumia kitu niko mbali na home, anadai nimlipe, amenisafirishia vifaa vyangu nilivyoviacha nilikokuwa nikiishi before, anadai nimrudishie alichotumia.
==========================
NOTE: si kuwa hana kazi wala cha kumuingizia kipato.
==========================
Hii imekaaje??? Imewahi kukutokea???
Au kwa kuwa si Mama mzazi???
Je, Mama mzazi anaweza kufanya hivyo???