Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
- Thread starter
- #41
kanisani mnaenda kuwinda kumbe daaaaah,
yaani sijui nijielezeje? nilienda kusali ndugu wala sijawai kuwa na dhamira ya kutafuta mwanamke kanisani,yaan ni kanisa langu naenda kusali kila siku imetokea tu leo kumuona na sikuwai kutarajia kuja kumuona tena japokuwa nilitaman sana na sana kurudiana nae ila sikuwazia kama angekuwepo tena morogoro cha ajabu ile kuingia ndie mtu wa kwanza kumwona na nguo zilezile alizoondoka nazo kwangu, ningefanyaje ndugu.