Fanya haya uepuke kuchunwa...

Fanya haya uepuke kuchunwa...

mpe demu anachotaka apewe na nani si wako we huwajui utachapiwa mchana kweupe wameumbwa kupewa na kuzaa umenieeleewa

Unaogopa kuchapia kwani umeoa.

We mtu anakuja unamgegeda anarudi kwao hapo bado unasema kuchapiwa.

Siku ukikosa hizo za kumpa ataenda kwa mwingine,,,acha uoga.,,usitumie pesa kama fimbo.
 
poa ila punguza ubahili mkuu kipindi cha uchumba ndo kipindi cha kujifunza majukumu ndoani yanakuwaje ni kama test ya kujiandaa na final exam

Mmmmmmhhhh,,bora kufanya hivyo kwa kukusanya kwenye ukoo wako watoto ambao wazazi hawana uwezo ukawasomesha.,,kama hiyo ni issue ya kujipima kiuchumi.
 
Mmmmmmhhhh,,bora kufanya hivyo kwa kukusanya kwenye ukoo wako watoto ambao wazazi hawana uwezo ukawasomesha.,,kama hiyo ni issue ya kujipima kiuchumi.

issue sio kujipima kiuchumi hapa unajifunza skills za kujenga ndoa imara so unapomuhudumia mpenzio ndoani hutapata shida kwa sababu unajua wajibu wako tayari ushakunjwa angali mbichi
otherwise utakuwa ndo wale posho ya nyumba mpaka akumbushwe
 
Ama kweli kizazi bahili hiki,kama vipi tengenezen hata papuchi za kwenu ili muepuke kuhonga!!lo!,kama hamtafanya hivyo hela zenu mtatoa tu tena sana!,chezea power ya mwanamke wewe!!,kwanza sipaswi kukuomba hela ila wewe utajikuta unatoa tu! ni wajibu Wako tang Enzi na Enzi!
 
Leo hapa tunajifulia na kujipikia wenyewe.

Kisa unaogopa kuchunwa
Mimi sifanyi lolote sio kufua wala kupika na bado Ananipa hela
Anajuwa lazima anipe balance ya kuzugia hapa na pale..
 
Mi sina muda wa kuhangaika na hao girls,nimemkodi binti ananipikia,ananifulia,anafanya usafi n.k,jioni anaenda kwake/kwao,sina muda wa kula hotel maana ni gharama,so sihongi na haitatokea!
 
issue sio kujipima kiuchumi hapa unajifunza skills za kujenga ndoa imara so unapomuhudumia mpenzio ndoani hutapata shida kwa sababu unajua wajibu wako tayari ushakunjwa angali mbichi
otherwise utakuwa ndo wale posho ya nyumba mpaka akumbushwe

Hilo swala halina kujifunza jirani.

Labda huyo mwanaume atakuwa anatumia kiungo kingine cha mwili kufikiria sio kichwa.

Kutumia pesa zako kumfurahisha girlfriend,,,eti unatafuta skills huu ni udhaifu na uoga wa aina yake.

Nanyie chukueni skills kujifunza kuishi katika mazingira magumu yenye msoto ya bila kuomba omba pesa ili badae muwe wa mama wazuri wa familia au nyie hampendi???????
 
khaaa mi cfanyi hata kimojawapo na anatoa hela vizuru tu

Unapenda vya kupewa eti??

Huyo mpenzi wako ni wale mabachelor wanaoishi nyumbani wakihesabu tarehe kuvizia mshara wa mzee utoke.
 
Naongea na wale ambao tayari wamesha jitegemea kimaisha, ambao hawaishi na wazazi wao, wanaokumbana na mkono wa Mama/Baba mwenye nyumba kila baada ya miezi sita mitatu au mwaka..


Wanaoishi ki-bachelor lakini wana wapenzi.


Katika hii movie ya ki-bachelor tunakumbana na mengi sana,,kuna wanaogeuza ma girl friend zao kuwafanya kama mke,,tabia ya aina hii imepelekea na wao kugeuzwa kama waume,,hapa unakuta kila kitu girlfriend anakutegemea wewe akipata kashida kidogo ooohh baby nataka hela..

Mazingira ya kuchunwa tunayatengeneza wenyewe usianze kumhisi binti wawatu ni mchwa,,jichunguze kwanza na wewe kinachofanya akunyoshee mkono.


Ukiweza kuyamudu mambo yaha hakika hautayachukia maisha ya ki-bachelor na kumgeuza girl friend kuwa mke, na yeye pia atashindwa kupata ujasiri wa kukutegemea kiasi fulani labda tu kama nitabia yake..

1. Kujipikia
2. Kufua
3. Usafi wa vyombo.
4. Usafi wa chumba.


Ukiweza kukabiliana na hayo pasipo kutegemea msaada kutoka kwa girl wako utayafurahia sana maisha ya ki-bachelor,,na swala la kuoa kwako utaliamua kwa wakati muafaka, ila sio kwa kuwa unahitaji msaidizi.



Ebu fikiria labda girlfriend wako anakuja kukusalimia siku ya mapumziko, anakuta chumba chako umesafisha vizuri vyombo viko katika mpangilio mzuri,,umefua nguo zako na mashuka,,huku na huku haujachoka kuna akiba ya mchele,,unawasha kajiko kako unapikia wali na unaandaa mboga yani kila kitu unaweka sawa kisha unapakua kwenye hotpot yako, basi akija mnakula kama atapenda,,baada ya chakula mnaendelea na mambo yenu,,kusanya vyombo vyako akiondoka unaviosha.


Kumbuka kufanya hivyo hakuondoi uanaume wako,,jifunze kudhamini vitu vyako girlfriend hajawahi kukununua hata kijiko vyote umenunua kwa pesa yako,,ulio itolea jasho kwa kugombania daladala asubuhi uwahi kazini.


Hapo unajaribu kutengeneza mazingira ya kumfanya asijihisi unamtegemea sana zaidi ya kitu kimoja tu nadhani unakijua kwa wale mabachelor ambao mnamiliki kiwanja cha fundi selemara chumbani kwako.


Kama bachelor mwenye akili zako timamu lazima uishi kwa malengo ukijua kesho na wewe utakuwa na familia itaishi vipi kama ukiendekeza kuhonga katika ubachelor wako.


Ishi na mwanamke kwa kanuni kama unavyo fanya hesabu,,baada ya hayo kinachofuatia hakikisha unatumia kiasi kidogo sana cha pesa kumnunulia vitu vidogo vidogo ambavyo havina gharama,,ili mkusahaulisha kiasi fulani auone uwepo wako.


Ila kama wewe sio muoga kama mimi basi unamkazia kabisa,,maana demu nae akishajua unapenda pochi manyoya yake basi atakubabaishia,,,usiwe mtumwa wa pochi manyoya.

Kwa style hiyo binti unasababu ya kumtegemea boy wako???

Na wewe bachelor mwenzangu hapo bado unayo sababu ya kugeuzwa kitega uchumi?????


Haya karibuni kwa michango yenu.........

mkuu hongera sana kwa maelezo yako! Nimegain vingi hapa, thumb up!
 
Mi sina muda wa kuhangaika na hao girls,nimemkodi binti ananipikia,ananifulia,anafanya usafi n.k,jioni anaenda kwake/kwao,sina muda wa kula hotel maana ni gharama,so sihongi na haitatokea!

Kamchezo kazuri hapo umejipanga mkuu.

Me nikijihisi nimechoka sana kupiga hoteli inanistili.

Nikiona nimechoka kufua kuna wadada wanapita mtaa kwa mtaa wanatafuta wazembe wawafulie nguo hapo huwa wananipata.
 
Back
Top Bottom