Kama wewe ni mtoto wa jamii ya mlo mmoja kwa siku kama unasoma, ukiona hizi combination ziache zilivyo unless uwe talented au utokee familia za mboga saba HKL,HGK,KLF,HGE,HGL,ECA tofauti na apo epuka ,geuka upande wa pili wa science pambana uwezavyo aangaika mpaka mwisho soma Science fursa zake...