USHAURI KWA WALIO SHULENI

sili SG

Member
Oct 12, 2018
22
26
Kama wewe ni mtoto wa jamii ya mlo mmoja kwa siku kama unasoma, ukiona hizi combination ziache zilivyo unless uwe talented au utokee familia za mboga saba HKL,HGK,KLF,HGE,HGL,ECA tofauti na apo epuka ,geuka upande wa pili wa science pambana uwezavyo aangaika mpaka mwisho soma Science fursa zake zipo nyingi hata nchi nyingine utapata ajira na usijidanganye kabisa utajiajiri elimu yetu badoo utasota sana Rafiki yangu ukumbuke wazazi wanakuona kama mkombozi wao,.
Tuambiane ukwelii,
 
Na kweli.
 
Back
Top Bottom