Recent content by silent observer

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    The way ilivyokuwa published, nilijiwa na mambo mawili kichwani; 1: Rais anakwenda kureveal mambo makubwa bungeni kurudisha imani kwa watanzania kwamba hajasahau wajibu wake wa kuilinda na kuitetea katiba ya Jamuhuri ya muungano(if any and he believes in it) wa Tanzania. Mambo hayo yakiwa ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Amani - 23/08/2008

    Natamani ningekuwa Dar ili na mimi nikaandamane. sijawahi kuandamana na siku zote huwa sioni sababuu ya kuandamana au kupinga kwani huwa sioni kama hivyo vitu vinanigusa au kunidhuru moja kwa moja. Ila safari hii I have the urge to be a front runner lakini sintakuwa Dar hiyo siku ya maandamano...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wabunge Wafanya Kweli: Mkapa & Karamagi Nje!

    Bright idea!!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Who is Salim Ahmed Salim?

    Only kama hatakuwa mgombea wa ccm!!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Who is Salim Ahmed Salim?

    Kwa mtazamo wangu, kushindwa kwake hakuhusiani na kushindwa kuwa-empress wananchi kwani wananchi hawapitishi mgombea wa chama. Wachafu wale walio atakuwa kikwazo kwenye biashara zao so wakamweka kando. Kama huijui ccm unaweza kufikiri ni watu wazuri la hasha wale mabwana wametawaliwa na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Who is Salim Ahmed Salim?

    Nyie watu mimi mbona mnanisikitisha? bado mnaitaka ccm? Salim ni mtu safi, ila ccm ni wachafu na hawataki kuwaanika wachafu ili waoshwe so hatujui nani ni mchafu zaidi na nani ni msafi sana. watamchafua huyu bwana!!! haijalishi rais ni msafi kiasi gani hawa mabwana hawaaminiki tena. Mimi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vigogo kitanzini

    huko ni kupoteza muda, kama mtu ulimwamini akaamua kukusaliti unatakiwa umweke mbali zaidi na wewe la sivyo atakufanyia usaliti mbaya zaidi ambao hutaweza ku-recover. Kikwete alimwamini Chenge na alipounda baraza lingine ( pamoja na kulalamikiwa sana na wananchi) alimpa second chance, look what...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    POINT!!!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    Huyo Makamba ndio usimtaje kabisa, nadhani inabidi akariri maneno "no comments" kuliko majibu aliyowapa waandishi wa habari kwamba ccm inashughulikia mambo mengine sio Chenge(ufisadi) na uwaziri ulikuwa kazi yake(Chenge) na watoto wake? Huyo alikuwa mkuu wa mkoa na ni katibu mkuu wa ccm. kama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    naungana na wewe, hebu sema tufanye mkakati gani? Ujumbe unatakiwa uwafikie walengwa na je unawafikia au tutumie njia gani kuhakikisha unafika. Watu wengine huwa wanatumia petition sisi tunatumia nini?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu!

    KHERI WEWE UNASABABU ZA KUMWAMINI MIMI SINA HATA MOJA. KWANI ALIVYOKABIDHIWA OFISI ALIKABIDHIWA NA MAWAZIRI AU MAKATIBU? SI ALIWACHAGUA MWENYEWE/ kwanini aliwarudia wachafu? ILE NCHI INA WATU ZAIDI YA 37M, YEYE KWA KUTAKA KUMALIZA KAZI HARAKA AKACHUKUA WENZAKE ANAOJUANA NAO. NAJUA KUNA WATU...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu!

    CHENGE NA WALE WOTE WALIOJIUZULU SIKU ZILIZOTANGULIA WALIPATA NYAZIFA ZAO KUPITIA UBUNGE, JE HAWAONI KAMA ITAKUWA NA MAANA ZAIDI WAKIRUDISHA NA MAJIMBO YAO? AU KASHFA ZAO ZINA MIPAKA? KAMA HAWAWEZI KUJIUZULU WENYEWE CHAMA CHA MAPINDUZI KINA FIKRA GANI KUHUSU HILO? INABIDI MWENYEKITI WAO...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu!

    so aliona a-make scene b4 hajaondoka? bad idea!!!!!!!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu!

    ndio maana nikaomba maelezokutoka kwa wale wanaomfahamu. Hivi vyeo vya kujuana mwisho shughuli yako nyeti unampa "kihiyo"
  15. S

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu!

    I salute you, he is questionable, na ninamuombea ( si kwa Mungu, that will be asking too much) wananchi wasione hilo.
Back
Top Bottom