Maandamano ya Amani - 23/08/2008

isiwe maandamano ya siku moja tu mlioko Tanzania anzisheni picketting kama tulivyofanya uingereza kwenye ubalozi wa makaburu mpaka uhuru ukapatikana. mnaanza kwenye ubalozi wa EU na worldbank BOT na Marekani kuwaambia wasihusiane na mafisadi kwani kila nchi inyoheshimika wezi wanaadhibiwa. Hata washin gton pale makao makuu na UN NewYork.
 
Nikipata muda nitakuwemo. Maanake utumbo wa leo wa JK umekuwa booster na catalyst kwangu kushinikiza mabadiliko, tena haraka.
 
shalom, are you around? Tarehe saba mwezi huu Shalom aliweka bandiko humu JF: Tuandamane mpaka ikulu

Kuna copy inatembea mtaani nimeona ni vyema kuiweka hapa.
Nimei-type, kwahiyo huenda kuna makosa ya uchapaji.

Tafadhali, pamoja na kutoa maoni yako kuhusu bandiko hili, zingatia kuainisha maboresho ambayo ungependa yafanywe na waandaaji wengine next time.

Amani iwe nanyi!
Lazydog

.

Natamani ningekuwa Dar ili na mimi nikaandamane. sijawahi kuandamana na siku zote huwa sioni sababuu ya kuandamana au kupinga kwani huwa sioni kama hivyo vitu vinanigusa au kunidhuru moja kwa moja. Ila safari hii I have the urge to be a front runner lakini sintakuwa Dar hiyo siku ya maandamano. Kuna jambo ambalo limesahaulika, katika mambo ambayo waandamanaji wanahitaji majibu yake nafikiri na hili lingewekwa; Serikali itoe list ya mafanikio ya rais Kikwete tangu aingie madarakani mpaka sasa. Binafsi sijui kama kuna any.
 
Nasikia Kikwete amesema maandamano ni batili...unajua hii hotuba yake hadi sasa inaonekana ni siri sijaiona sehemu ili kupambanua pumba zake na za waandishi ,ipo kaazi kweeli kweli.
 
Bado nimeachwa kidogo, maandano yapo kweli? je ni kesho I mean 23/8 ama 30 August? tafadhari fafanua sipendi kuyakosa!
 
Mnanivunja mbavu!!! Hivi nyie wana JF mnamjua huyo Rafael aliyesaini hilo Tangazo!!! Ni vyema mkachukua tahadhari mapema hata kama mtaamua kushiriki hayo maandamano. Huyo Jamaa ndio wale wanaojiita "usalama wa taifa", kumbe wanalinda usalama wa mafisadi. Namba chafu sana hiyo. Mtakaoshiriki Good luck but watch out guys.
 
Mkuu Unatutishia SIMBA WA KUCHORA??, TEH TEH TEH!
 
jamanieeee hicho kibali kimeshapatinaka .. mimi mwanangu bado mdogo ... nikiwaza lile gari kama faru, napata kiwewe ... nasikia linatema maji yanawasha hayo ... nitawasuburi tu nyumbani ... nyie nendeni
 
Huwa hawasemagi, wanakaaga kimya halafu siku ikifika hawaendagi eeeeeh!
 
Back
Top Bottom