Kama hujui kaa kimya, Urusi aliishambuli Ujerumani Masharuki na Marekani aliishambulia Ujerumani Magharibi. Na Urusi sehemu kubwa ilikuwa imeishatekwa. Na aliemaliza vita ni Marekani baada ya kupiga Hiroshima na Nagasaki. Kwa hiyo Mshirika mkubwa wa Ujerumani alivyosalimu amri ndio na Ujerumani...
Hiyo gari ni nzuri na Spare zipo , Spare zake inafunga na Mitsubishi Autolander, kuanzia shock up za mbele na nyuma inafunga Spare za Autolander mpaka brake Pad, kiufupi ni Autolander, ni kama Kluger na Harrier
Meli hata ingekuwa ya 1920 kama imewekewa mifumo ya kisasa hiyo ni meli ya kisasa.
Na hiyo meli ya Urusi iliyozama ni ya kisasa baada ya kuwekewa mifumo ya kisasa ya kuilinda na kushambulia
Ujerumani hajajitenga na yeye ndio watu wa kwanza kulaani, na pia ameshiriki bega kwa bega kuweka Vikwazo na Baadhi za mali za matajiri wa Urusi vimezuiliwa zikiwemo boti za kifahari
Kasome historia vizuri, Vita ya pili ya Dunia Mrusi alitwangwa na Germany na Urusi nusu ilikuwa imeishatekwa na Hitler akishirikiana na Italy pamoja na Japani, Na Marekani alimaliza vita baada ya kupiga Hiroshima na Nagasaki,
Hiyo Nissan Qashqai Spare inafunga na Nissan Xtrail new model T32 ya 2012-2014. Spare zake ni Changamoto ya bei, Spare zake ni Ghari kidogo,
Tie rod end 1set ni 250,000/
Hub ya mbele OG ni 450,000/ ya kawaida 250,000/
Swali kama hilo hupaswi kuuliza, Kwani wakati wenu mlihitimu wangapi? Kwani hujui watanzania wameongezeka kwa kuzaliana? Tulipata uhuru tupo milion 9 na sasa tupo zaidi ya million 60,
Miaka ya Nyuma nyenzo za kujifunzia zilikuwa ngumu, lakini Leo watu wanajifunza vitu vingi duniani bila vizingiti, Baadhi ya Shule za Private wanafunzi wanasoma moja kwa moja na Profesa wa ulaya na wanauliza maswali live sababu ya Teknolojia kukua, kwa hiyo miaka ya nyuma ni tofauti na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.