Recent content by Silas A.K

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye akiba ya fedha za kigeni ya Tanzania

    Umekosoa nini hapo mkuu?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tabora Boys: Special school inayopotea!

    Nimefurahi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Bulembo; CCM yashtuka na Kuvizuia Vyombo vya Habari Kuirudia

    Mh.Bulembo ni mmoja wa watu smart sana kuliko unavyofikiria,pengine kuliko maprofesa wengi unaowajua! Kama amesema alichosema basi atakuwa anaelewa kwanini anasema hayo na ninaamini hasemi kwa kujipendekeza ila ndiyo ukweli anaouamini!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Nimeguswa sana na Mheshimiwa Rais kutumia kiswahili maana nilikuwa napata shida sana kuona tunang'ang'ania kuongea lugha isiyokuwa yetu na kuiacha lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Lazima uelewe sababu za Benki kukucharge service charge na pia uelewe namna VAT inavyopaswa kuchajiwa! Mambo mengine nafikiri ni ya kitaaluma zaidi kuliko siasa. Ni vizuri TRA watoe ushauri wa kitaaluma kwa serikali kuhusiana na suala hili ili kuondoa mkanganyiko usio na tija.Bado nafikiri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali/TRA yazitaka Benki kutopandisha viwango vya tozo/ VAT katika miamala yake

    Sijaelewa haya maelekezo ya TRA! Ninaamini Tanzania Bankers Association (TBA) watakaa chini na serikali ili kuliweka hilo vizuri.Sioni namna gani utazibebesha benki mzigo huo na hivyo kuwapunguzia mapato yao.Naamini Benki siyo NGOs hivyo wanapaswa kupata faida au kurejesha gharama zao za utoaji...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

    Pope ni kiongozi wa Dini tena ni Kiongozi wa Dini ya Katoliki lakini Yesu Kristo hakuleta dini.Acha wafu wawazike wafu wao.Mambo ya Mungu siyo opinions bali ni facts ni Amina na Kweli! Kanisa hapa nazungumzia mwili wa Yesu Kristo unapaswa kuihubiri kweli ya Mungu na kuwaelekeza watu kwa Mungu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima: Maaskofu Pentekoste mlimtuma Mch. Ikongo?

    Katoliki ni dini kumbe okay uko sahihi! Sasa Bishop Ikongo ni makatoliki kwani? Jitahidi utafute kumjua Yesu kama wewe ni Mkristu/Mkristo maana hautaenda mbinguni kwasababu wewe ni mkatoliki bali kwasababu ni mfuasi wa Kristo kwa maneno na matendo yako! Warumi 10:9
  9. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aidanganya mahakama

    Hakuna mwanadamu anayefufua watu bali Yesu Kristo ndiye afanyaye hayo kupitia wewe na mimi kama tukimkiri kuwa Bwana na Mwokozi wetu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Atheists have no reason to fear death or punishment

    Wakati mwingine ninaamini kwamba wapo watu waliokuwa destined kuangamia kama ilivyokuwa kwa Yuda, maana wapo wachache miongoni mwao wanaoweza kupata neema ya kumjua na kumkiri Kristo lakini wengine hakuna namna wataepuka the Wrath of God na hapo ndipo watakapojua shetani alikuwa anacheza na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo anawaponda Mitume na Manabii feki Channel 10

    Kwenye kazi ya Mungu kuna ngano na magugu na Yesu mwenyewe alisema acheni vyote viote pamoja lakini utaweza kutofautisha ngano na magugu wakati wa kuvuna.Shetani ameingia sana katika kuvuruga kazi ya injili ionekane kama utapeli kwa kupandikiza magugu katika shamba la ngano na hiyo inakufanya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Utabiri huu unaonekana na tip kutoka ndani ya polisi wenyewe
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtume Dunstan Maboya,kwanini hapendi Promo za TV?

    Manabii hawafanani labda ni muhimu kuelewa Nabii ni nani? Lakini huyu wanayemwita Nabii si Nabii bali ni Mtume na neno la Mungu/Yesu Kristo wa Nazareth anasema kuna huduma tano ambazo ni Manabii,Mitume,Wachungaji,Walimu na Wainjilisti na hizi ni huduma ambazo zipo kwaajili ya kuujenga mwili wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Pengo: Nimesamehe

    Hujui unalolisema na hii inatokana na kutolijua Neno la Mungu bali unaenda kwa mazoea na mambo yenu ya dini! soma Biblia uijue vizuri ili siku nyingine usije ukaona watumishi wa Mungu ni wa mtaani ila wakatoliki ndiyo wa Mungu!
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitesa CCM Kyela

    Kaka tutafutane kwa PM please najua tunajuana vizuri,tulikuwa wote kwa mwalimu filipo na mahinya!
Back
Top Bottom