Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,314
- 72,740
Kauli ya Abdalla Bulembo iliyoonekana katika Television jana kuwa Mhe Magufuli awafukuze chamani wale wanaopinga yeye kuwa Mwenyekiti na ikapokewa kwa mjadala mkubwa kwenye mitandao ya jamii imezua tafrani ndani ya ccm.
Imebidi juhudi za ziada zifanyike ili vyombo vya habari magazeti na radio yasirudie tena kutangaza ushauri huo wa Bulembo kwani hauna tofauti na aliosema Gwajima na pia unakigawa chama vipande hasa kwa vile wanaompinga ni kundi lenye nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Nawapongeza kitengo chao kwa kuwa na hatua za haraka, na mambo mengine wangekuwa na speed hii ingekuwa safi.
Ila Bulembo kujipendekeza kwake kwa mbinu hiyo (kukosa elimu kunachangia) kutawavuruga sana