Recent content by Sikwepeshi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Nashukuru wote kwa kunitia moyo pamoja na ushauri,nina ujauzito wa wiki 10 sasa. Mungu awabariki sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania waziri mkuu ni nani kwa sasa?

    Ilo nalo neno
  3. S

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari MB.

    Huenda anausaka umaarufu kwa nguvu,sory kwa itakaowagusa!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga ubunge Igunga leo

    Ushahidi mwingine cku ya uchaguzi gari la mb rage tabora.lilipita baadhi ya vijiji na kutangaza kuwa mgombea wa cdm amejitoa kwenye uchaguzi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

    Magamba at work,acheni kukuza mambo if ur real great thinkers
  6. S

    JamiiForums Tanzania (Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia

    ahaaa,asante kwa taarifa.ckuwa aware na hilo
  7. S

    JamiiForums Tanzania (Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia

    ahaa thnx kwa taarifa,sikuwa aware na ilo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    do u have any primafacie evidence ya kundi ilo??? Au maneno tu ya mtaani?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    Mmh sijaliona gazeti,ila nadhani iyo picha imewekwa purposely,anajua mhariri,hivi tanzania daima si gazeti la mbowe??? Au ni uzushi??
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mume na mtoto wa nje!!!

    Mmh cjui wanaume wakoje,i had the same problem,akili yangu yote apa inanituma kuondoka,ila mshirikishe mungu zaid
  11. S

    JamiiForums Tanzania (Docs): Siri ya Kesi ya Mahalu: Ununuzi wa Jengo la Ubalozi Italia

    Nackia huyu ni vice chancelor wa chuo cha bagamoyo,na vice chancelors ni wateule wa raisi,inakuwaje wakati wana bifu??
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lulu ana mimba

    Masikini lulu,sipati picha anavyowashwa na iyo nguo ndefu.mhh khs mimba mbona iyo ilivuma muda mrefu...ishachuja
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje,nahisi kuchanganyikiwa

    asante mkuu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

    ooooh jamani Nyani Ngabu,usichange jina bhana tutakumic unajua.kwikwikwikwi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Had SEX with a stranger!!! Please help, Have I cheated?!

    ndo maana nimebaki nawanda,haiwezi kuwa sawa na kucheat,ila huenda sina uhakika kuna jinamizi lilikujia ndotoni na likakufanya ukweli ndo maana nikakutel nenda sehemu za kiimani,kama church,manyaunyau...chagua wewe ila mungu zaid
Back
Top Bottom