Recent content by sikonjose

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe apiga marufuku uwanja wa Taifa kuitwa "Kwa Mchina"

    Nadhani waziri hajaelewa kwaninj watu wanaita kwa mchina,haina maana tunawasifia wachina,ila kwa kuwa wao ndio waliojenga,sisi tuliwapa fedha tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Shida ni kwamba mara nyingi hawa wasaidizi wa mheshimiwa hawaforesee tatuzo,wao wanenda kwa mheshimiwa na temporary solution. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Hili halina tofauti na lile la mafaao ya wastaafu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania TUCTA kuibuka juu ya mafao...

    Being a civil servant in this country is to put your life in jeopardy
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mada moto: Unajisikiaje pale unapoona watu uliokuwa nao utotoni wamekuacha mbali kimaisha?

    Your life is unique and not the same as those you grew together. And also our priorities differ.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tcra Tunahitaji Local Channels kwa Gharama Yeyote

    Hii nchi watu wanacomplicate vitu sana unamzuia Azam kurusha taarifa ya habari wakati huohuo unamruhusu kurusha mechi live. Vipi cha muhimu mechi au taarifa ya habari?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tcra Tunahitaji Local Channels kwa Gharama Yeyote

    Nadhani nia yao ni kupunguza wigo wa watu kupata habari,na mkizipata mzipate zile wanazopenda wao.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wastaafu tunaungana kupinga sheria na Kanuni mpya ya mafao ya mwaka 2018 Mahakamani

    Kila kukicha serikali inafikiria namna ya kumkamua mtumishi.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ajali, Kondoo: Basi la Kampuni ya Sharon Classic lateketea kwa moto maeneo ya Bicha

    Nadhani haya mabasi ya kichina yana shida kwenye mfumo wa Umeme.
Back
Top Bottom