Recent content by SIJOMA

  1. S

    Shaka: Nguvu ya CCM ndo inayoipa madaraka

    Umenena vyema kiongozi. Hongera kwa wana CCM SUA kwa darasa zuri. Nimekumbuka mbali sana nilipokuwa hapo SUA na madarasa kama haya tuliyapata.
  2. S

    ZIARA DAIRY FARM whtsap forum

    Tunajiungaje sasa mkuu? Tuwwkee namna ya kujiunga pls
  3. S

    SUA tangu mwezi May 2016 hadi sasa hakuna Serikali ya Wanachuo.

    Ndugu wanazuoni nasikitika sana kuona wadogo zetu wanaosoma chuo kikuu cha Sokoine wanakosa uongozi wa wanafunzi ilihali fedha za uendeshaji zinatolewa kama kawaida 10,000/=@student. Sababu hazieleweki kabisa maana tume ya uchaguzi ilizuiwa na utawala baada ya kuwepo na muingiliano kati ya...
  4. S

    Rais wa wanafunzi SUA anapotaka kung'ang'ania madaraka

    N Ni bonge la mtu asiyejitambua kabisa anapenda madaraka lakini hajui uongozi japo hapa amesoma masomo yenye mwelekeo huo sijui anafanya hivyo kwa faida ya nani? nitarusha picha yake tu usiwe na wasi. HAFAI HATA BURE. FAINALIST ANATAKA AENDELEE KUWA RAIS????????? SHAME ON HIM
  5. S

    Rais wa wanafunzi SUA anapotaka kung'ang'ania madaraka

    KAMA UMEMUONA VILE JAMAA NI CCM PURE NA ANAAIBISHA CHAMA KABISA.
  6. S

    Rais wa wanafunzi SUA anapotaka kung'ang'ania madaraka

    NI HASARA KWELI KWELI ALAFU ANATEGEMEA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII. JIPU KWELI KWELI.
  7. S

    Rais wa wanafunzi SUA anapotaka kung'ang'ania madaraka

    Kwa kweli inasikitisha sana kwa rais wa wanafunzi SUA anapopanga kulazimisha kubakia katika madaraka japo muda wake kimasomo umemalizika. hii imetokana na yeye kwa kushirikiana mshauri wa wanafunzi wamejaribu kuizuia tume ya uchaguzi ya wanafunzi iliyochaguliwa na bunge la wanaSUA (USRC) kwa...
  8. S

    Mh. Rais mtume waziri mkuu aje Makete idara ya mifugo na kilimo imeoza kabisa.

    ni ombi kwa Mh. PM naomba uje huku wilaya ya Makete kuna uozo mkubwa sana. Watu wanafanya kazi kwa mazoea na kibaya zaidi wanatudharau sana sisi watumishi wa ngazi za kata na vijiji. Mfano, mifugo na kilimo, kuna watu special wa semina, wafanyakazi bora, wapiga dili hatukutani pamoja kujadili...
  9. S

    Unaejifanya CCM damu soma hapa

    Nina wasiwasi na elimu yako, hivi unajuwa maana ya kurithisha?? Makamba alikuwa mbunge?? Makongoro alikuwa mbunge tena NCCR-Mageuzi wakati baba yake akiwepo bado hadi anamnyima kupanda ndege toka Msm to Dar kisa ameenda chama pinzani?? Hujui tafakari vizuri. Nitajie wenyeviti wa CDM Wote tangu...
  10. S

    Mwanza wamuomba Slaa kufanya kongamano ''okoa nchi kataa ufisadi'' Nyerere mpya azaliwa

    pamoja na unaowafahamu yeye alitajwa kama fisadi papa wengine ni vibua tu!! Alafu yeye kagombea urais ila wengine hawajathubutu kama unawafahamu.
  11. S

    Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    fafanua pls mkuu ccm ni nini na kivipi? Ila usiwe na mhemuko kutoka upande wowote tujuze ili sote tuwe sawa.
  12. S

    Mikopo kwa walio apeal inatoka lini ?

    Hapa SUA wametoa ijumaa jion lakini sio waliopata ni waliokosa na sababu zao kibao tu. wengine walioappeal hawajaonekana majina yao kama mimi. vuta subira watatoa muda si mrefu maana waliopata mkopo walisha saini kwa mara ya pili tayari. be torelant.
  13. S

    Makete: Wilaya ya ajabu, nadhani ni ya kupiga pesa

    Idara ya kilimo,mifugo na ushirika wilaya ya Makete nashindwa kuielewa kabisa. Kila OC ikiingia matumizi yake sijui yanaelekea wapi? Inasemekana kuna pesa iliwahi kupigwa na idara ikabaki na deni kubwa tangu 2011 hadi leo OC ikija wanatoa fedha kwenda kulipa deni hilo la mradi wa ng'ombe...
  14. S

    Katibu mkuu kilimo tunasubiri majibu yako juu ya mikopo kwa wanachuo hususaaan Extension hapa SUA

    Wiki iliyopita katibu mkuu kilimo... Alikuwepo hapa SUA na watafiti wa mambo ya kilimo toka ng'ambo wakizungumzia namna gani wakulima nchini wapige hatua kwa kilimo. Baadae wanaosoma Bsc, Applied Agricultural Extension walimuuliza ni kwa nn wanaosoma progm hii hawapewi mikopo alijibu " Kila...
  15. S

    Kwa hizi course ni ngumu sana kupata GPA kubwa

    kozi zooote hapa SUA huwezi dharau bana. Watu tunaomba tupate gamba sio lazima kuwa na GPA kubwa. Alafu mbona hao wa GPA kubwa wakija kufanya interview hapa SUA kuomba kazi wanashindwa? Kila interview 'screening test' je, GPA kubwa ndo kiashiria cha uchapakazi??
Back
Top Bottom