Ndugu wanazuoni nasikitika sana kuona wadogo zetu wanaosoma chuo kikuu cha Sokoine wanakosa uongozi wa wanafunzi ilihali fedha za uendeshaji zinatolewa kama kawaida 10,000/=@student.
Sababu hazieleweki kabisa maana tume ya uchaguzi ilizuiwa na utawala baada ya kuwepo na muingiliano kati ya bunge na rais aliyekuwepo, Baadaye tume waliruhusiwa kuendesha uchaguzi hivi karibuni 04 November, lakini mpaka sasa wanachuo wanaulizia kulikoni wanaambiwa CHUO HAKINA FEDHA ZA KUENDESHA UCHAGUZI jambo ambalo ni jipu la wazi wazi kabisa.
Sasa tuwasaidiaje vijana wetu????
Mzee warioba anza na hili ni shida sana wadogo zetu wanateseka hawana wawakilishi katika mambo mengi sana, wasaidie. Na waziri Ndalichako huoni huu ni uozo?? Tafadhali nusuru hili jambo. Na mahafali ni ijumaa hii 25th November.