Recent content by siismail35

  1. siismail35

    JamiiForums Tanzania Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

    Hakuna tatizo zaidi ya wivu na nivema ukaeuka anayokukataza.kwani waweza fikiri mzaha.
  2. siismail35

    JamiiForums Tanzania Kwa kifungo cha chini ya miaka 7 kwa ufisadi wa Tshs 1 bilioni, niko tayari kwenda jela

    Adhabu kama hizo ni kichocheo tu.
  3. siismail35

    JamiiForums Tanzania Makongoro amfungia safari Leticia Nyerere

    Aliye post ndio hana akili
  4. siismail35

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya PAC juu ya jinsi wanavyotuibia kupitia ATCL

    Tutakukumbuka muheshimiwa Zito na kamati yako kwani bila nyinyi,tusingejua ufisadi wa tgt Escrow na haya mnayoendelea kutufahamisha juu ya uozo wa serikali.Ingawa wao wanadai eti ni baadhi yao tu sio wote.Waswahili walisema samaki mmoja akioza wameoza wote...
  5. siismail35

    JamiiForums Tanzania Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

    Makaidi mnafiki siyo mpatanishi huyo ni mchichezi
  6. siismail35

    JamiiForums Tanzania Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Hata mimi ningeshindwa kumjibu..hiyo ilikua siku yakusherehekea uhuru wa taifa ambalo kwa sasa taifa hilo halipo...ni historia...
  7. siismail35

    JamiiForums Tanzania Huwezi Kufanikiwa Kimaisha bila ya kuwa na mwanamke hapa duniani

    Nakubaliana na tafiti hii. Namimi ni shahidi
  8. siismail35

    JamiiForums Tanzania Dakika 45 ITV: Kafulila azungumzia ufisadi wa ESCROW

    Nyie sindio mliokunywa maji ya bendera ya ccm.. 2016 wote segerea nyie...
  9. siismail35

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuko obsessed na Escrow report?

    Dawa ni kubadili uongozi halafu hawa mafisadi wooooooote tutawaburuza cortin akiwepo baba yao kikwete. Kisha tutawafilisi mali walizonazo... huu ndio muarubaini wao.
  10. siismail35

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Haya ni maoni ya watu acha kuhukumu
  11. siismail35

    JamiiForums Tanzania Jambo la kushangaza: Mke wangu na Dada wa kazi

    Mpe talaka hilo ni fumanizi..
  12. siismail35

    JamiiForums Tanzania Jambazi akamatwa Kimboka, Buguruni

    Kill kill kill kill.
  13. siismail35

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Mh. Mbowe Igunga 6/11/2014

    Wewe chizi kweli hujui baba ako pia alikuepo mkutanoni
  14. siismail35

    JamiiForums Tanzania Picha ya nyati mweupe aliyeonekana Ngorongoro

    Huyo siyo nyati baba huwajui nyati nn?
  15. siismail35

    JamiiForums Tanzania Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

    Wewe unaejifanya jirani ujulishwe msiba haukuhusu wann.mnafiki mkubwa unajifanya msamaria mwema mnafiki mkubwa.
Back
Top Bottom