Taarifa rasmi ya PAC juu ya jinsi wanavyotuibia kupitia ATCL

Taarifa rasmi ya PAC juu ya jinsi wanavyotuibia kupitia ATCL

wafanyakazi 142, ndege moja. da! sina hata hamu.

I was shocked to death.... na mishahara hawakosi wakati fedha za dawa wanajidai hakuna

Nchi inaendeshwa kwa hasara hii....majuha yamejaa hapo juu
 
Tukifanikiwa kuifumua mikataba mibovu, nina hakika nchi hii itapata maendeleo ya kweli kwa kasi sana. Hatuwezi kuendelea na mikataba ya namna hii.
Ova
 
Piga Zitto hakika wewe ni jembe kichwa chako kimoja ni sawa na vichwa vyote vya UKAWA watajuta kukupoteza manake tumewaona wapinzani kipindi hiki wanakimbilia hoja za Zitto ili kujipatia umaarufu hakuna cha Mbowe,Lisu,lipumba,Mnyika,Lema,Msigwa,Wenje wala cha nani wote hao wanaangaika kutembelea nyota yako ili kujipatia umaarufu wao na vyama vyao vyenye sera za ukoka toka wakufukuze wanajuuuta manake kwisha habari yao hawana hoja

Wewe mbulula kaa pembeni. Unaambiwa hiyo ni ripoti ya PAC iliyosomwa na Zito mbona huelewi? Ripoti ya kamati ni lazima isomwe eitha na mwenyekiti au yeyote hata kama haridhiki nayo. Sasa wewe unampa sifa msomaji badala ya kamati? Mbona una akili kama mwl Mwijage ?
 
Last edited by a moderator:
My country is a very devastating place..You must learn to protect your emotions if you wish to prevent matters of corruption from devastating you!!😡
 
Kama wa escrow hawajafikishwa mahakamani je hawa wengine tutawaweza?
 
Piga Zitto hakika wewe ni jembe kichwa chako kimoja ni sawa na vichwa vyote vya UKAWA watajuta kukupoteza manake tumewaona wapinzani kipindi hiki wanakimbilia hoja za Zitto ili kujipatia umaarufu hakuna cha Mbowe,Lisu,lipumba,Mnyika,Lema,Msigwa,Wenje wala cha nani wote hao wanaangaika kutembelea nyota yako ili kujipatia umaarufu wao na vyama vyao vyenye sera za ukoka toka wakufukuze wanajuuuta manake kwisha habari yao hawana hoja


I thought PAC wametafsiri ripoti ya Utou tu, umbe Zitto na yeye huwa nafanya uchunguzi binafsi, by the way anaongea kama Zitto au mwenyekiti wa kamati ?
 
Oops! Sitta kama anaamini yeye ni wa viwango basi ahakikishe mkataba huo wa juu ya mkataba unasitishwa. Mbona Nchi hii kuna mijitu mipuuzi sana! Vipi, tuna laana nini?
 
Tutakukumbuka muheshimiwa Zito na kamati yako kwani bila nyinyi,tusingejua ufisadi wa tgt Escrow na haya mnayoendelea kutufahamisha juu ya uozo wa serikali.Ingawa wao wanadai eti ni baadhi yao tu sio wote.Waswahili walisema samaki mmoja akioza wameoza wote...
 
Nasikitika kusikia madudu haya kila siku katika nchi hii ambayo mungu ameipa kila kitu kizuri, kwanini sisi tu?
 
Daaaah!!! Sijui kwanini nimesoma hii kitu.
 
Bado posho za bilioni 9,bado vibali vya sukari na nyumba za bodi ya shirika,bomba la gesi hii nchi ni shamba la bibi hadi unajiuliza nbona tumelala hivi wanaojiita wanaharakati na wanasiasa wa upinzani wamekaa tu
 
Hii ishu ingenhusu muhongo bungeni pasingetosha, halafu majitu yanamtetea mwakyembe, shenzi kabisa
 
Watanzania ugonjwa wetu ni kutopenda kufuatilia wote wanaowatetea ni bure kabisa
 
Ni sisi wenyewe kuchagua viongozi kwa kufuata upepo unavovuma na sio uwezo
 
Nilimsikia Zitto akiongea kwa huzuni kubwa kuwa ATCL wanalipa deni la kukodi ndege ambayo haipo, si tu kuwa haipo ilishakodishwa kwa mteja mwingine, hii mbaya sana. naona sasa ipo haja ya msajili wa hazina kutoa ankara za mashirika ya umma (Financial Statement) ikiwezekana kila baada ya miezi mitatu.
 
Watanzania msiwalaumu CCM. Acheni wafanye kazi yao kwa kuwa hawakuingia msituni na kutwaa madaraka. Mliwachagua ninyi wenyewe kwa kura zenu. Mjilaumu ninyi wenyewe kwani hayo ndiyo malipo ya rushwa ya chumvi, kanga na vikofia vya kijani!

umesema vyema mkuu,majuto ni mjukuu,
 
Nilidhani tungejadili yaliyodili katika ripoti ya Zitto. Lakini wewe hujitambui maana kazi anayoifanya Zitto ni kwa manufaa ya Watanania wote, na nina hakika Zitto mwenyewe wala hatakusikiliza kwa haya uliyoyaandika. Tulikuwa na sakata la escrow halikuletwa na Zitto. Mwache Zitto atufanyie kazi tuliyomtuma pasipo kumgombanisha na wanasiasa wenzake.

Ninaamini kuna haja ya kuingia msituni! Hatuwezi kuitwa watanzania, na Tanzania yenyewe ndio inatawaliwa kijinga namna hii!
Wamekaa kimya,
deni linaongezeka,
mikataba mibovu,
ATCL imekufa,
Hakuna anayewajibishwa,

Wananchi wakipiga kelele za Ufisadi, utasikia serikali wanazusha - Oooohh kuna HOMA YA DENGU, Oooooh MAFUA YA NDEGE, oooh RASIMU, Ooooooohhh MAHAKAMA YA KADHI, Oooohhh
 
Back
Top Bottom