Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Bosi kwanini usitafute takwimu zimo humuhumu ndani JF?utagundua tu nani anafaa kuwa rais...na utajiridhisha tu kwamba hakuna zaidi ya Mh Dr.W Slaa.
 
Wanajamvi,habari za j'pili ,mimi kila siku nawaza ni mtu gani ktk Tanzania hii atafaa kuwa rais wa nchi hii kwa maana watu wote maarufu ni wachumia tumbo.
 
Slaa pekee ndie msafi. Wengine wako busy na kuchota mapesa ya Escrow, wengine kuhonga kanisani nk
 
nani atampa kura huyo mropokaji, we need a smart president like lowassa,

lowassa akikohoa mpaka nyasi zinalala chini,
 
nani atampa kura huyo mropokaji, we need a smart president like lowassa,

lowassa akikohoa mpaka nyasi zinalala chini,
Kikohozi tu nyasi zinalala chini?Hiyo ni TB au nini?From Parkinson's to TB.Who would want him for presidency?
 
Slaa anawezaje kuwa Rais bila kupigiwa kura? Acha upuuzi

We ni kiazi! Jamaa amejibu swali kama linavotaka! Elewa swali kwanza na sio kujibu comments za watu huku ukiacha suala lengwa la uzi.
 
Ebu tuelezee usafi wake ni wa mwili,matendo au akili?
 
We ni kiazi! Jamaa amejibu swali kama linavotaka! Elewa swali kwanza na sio kujibu comments za watu huku ukiacha suala lengwa la uzi.

Gefa, suala la ukiazi havina uhusiano wwt la muhimu kila mwanajamvi anachangia hebu toa maoni yako na ww acha kutoa mapovu.......
 
Kumbukeni kila kitu tunacho ila the problem with us is leadership, leadership, leadership, if we will succeed to come up with a strong and visionary leader like Hon.Lowasa things will change very faster than we ever expected.
 
nani atampa kura huyo mropokaji, we need a smart president like lowassa,

lowassa akikohoa mpaka nyasi zinalala chini,

Nyie wazeni uraisi tu sisi tuna delete ccm na somo limeanza kuwaingia watanzania
 
Kumbukeni kila kitu tunacho ila the problem with us is leadership, leadership, leadership, if we will succeed to come up with a strong and visionary leader like Hon.Lowasa things will change very faster than we ever expected.

Rejea kauli ya Mwalimu Nyerere
 
Lowassa ni janga la Taifa, anashabikiwa na misukule yenye njaanjaa tu. Mtu mwenyew anakiharusi.
 
Back
Top Bottom