Recent content by sii kidogoly

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yahya Zayd ana mpira wa kizamani ipo siku atakuja kuua mtu. Leo kwetu Yanga na Simba mjiandae

    Mungu akujaaliwa mke wangu akijifungua mtoto wa kiume lazima aitwee Bin. Zayd...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Kwa wale watu weupe wana program zao huwa wana screen zao maalum huwa zinaonesha jina na namba ya mchezaj husika ivyo ni kusomaaa na kutaja tu simple sasa sijui kwa hapa kwetu kama wanatumia iyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Shumileta
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, nilifungwa gereza la wanawake kimakosa sitosahau nilioyaona

    Aendeleee tu sisi wengne hatujawah kusikia story kama iyo so ukiww haikupendez achana nayo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Kwanza ww uliyeandika huu uzi ushawah cheza mpira maana sisi wenzako tunajuwa uchungu ukiwa pale ndani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu ni aibu sasa

    Ata Ac milan na Inter milan wote hawana viwanja
  7. S

    JamiiForums Tanzania Haya magari yanayojaza mafuta kwenye vituo vya mafuta yakiwa na abiria, je kuna hatari?

    Usituletee mambo ya ulaya CCM hawana noma
  8. S

    JamiiForums Tanzania RODRIGO HERNANDEZ MCHEZAJI BORA WA MSIMU WA UEFA

    Uyo mtu hatari sanaa ndo injini ya Pep pale kwa sasa the best midfield no 6
  9. S

    JamiiForums Tanzania Movie gani bado unatamani kuiangalia tena?

    Minyukutoooooo.....
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    We unajua leo mbona kitambo tu hao jamaa siyo mi nishangaaa vyombo vya habari vinavyowapongeza ni ushamba huu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kuichezea klabu yoyote inayoshiriki NBC Premier League Tanzania

    Clip tafadhar.. maana sisi wengne mawakala kitambo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha za Utupu za Spika Wa Bunge Afrika Kusini

    Izo picha zipo wapi[emoji34][emoji34]
  13. S

    JamiiForums Tanzania Simba mara hii wameonesha wivu wa wazi wazi kwa Yanga

    Unbeaten ya tigo pesa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

    Ngolo kantee..... uyo
  15. S

    JamiiForums Tanzania NSSF hawalipi mafao yako kama hujafukuzwa kazi, hata kama mkataba umeisha

    Babu siyo kweli hayo madai yako mim nimefanya kaz na baadaye mkataba ukaisha na nimepata pesa zangu vizur tu za NSSF kikubwa fuata maelezo kwanza lazima upate barua ya kusitisha mkataba na lazima isainiwe na HR wako
Back
Top Bottom