Recent content by sifuri

  1. S

    Ushauri kwa TFF

    hao wabongo wewe wanayeyusha tu huko.ila kwa sasa hapa tz wapo wengi wenye weledi hivyo national team legends kwa ushirikiano na tff pamoja na wizara tena pale yupo Ally mayay wanaweza kufanya jambo zuri.
  2. S

    Ushauri kwa TFF

    Salaam kwenu viongozi wetu wa soka hapo Tff. maneno mengi yamesemwa kuhusu Timu yetu ya Taifa(taifa stars).iwe kwa uzuri au kwa ubaya lakini ukweli watanzania wanahitaji mafanikio ya timu yao katika mashindano mbalimbali. Leo natoa ushauri tu wa nini kifanyike katika timu yetu ya taifa...
  3. S

    Wale wa namba (Maths) tupeane sapoti hapa. Maswali hayaendi kabisa.....

    yani hii post ghafla nimeikumbuka mt100 pale juu ya mlima dah hesabu ilinikimbiza sana.mwamba hii paper ni laini sana weka swali# tukupe maujanja ya porini.
  4. S

    Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    nitakufahamisha ili uwe msaada kwa wengine bro.mfano bsc in telecom eng cut off point ni 4 kwa masomo mawili ambayo wanaita core subjects ambayo ni hesabu na physics basi.chemistry weka pembeni angalia taratibu zilizowekwa kwenye creteria utaona maajabu.mtu amepata phy E chemistry A adv math D...
  5. S

    Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    nipo Coict.nilipata BCE.phy C chem B adv Math E.ningelikuwa na D Ya physics nisingelipata nafasi hapa chuoni kwa hii kozi.kuna vijihesabu unatakiwe uvipige iliuweze kuendana na taratibu zao za cut off ya 4 kwa 2core subjects.hoja yako hapo juu kidogo haikuwa sawa huyo mwenye cee nafasi chuo...
  6. S

    Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

    hawezi pata kivipi watu tupo udsm na kozi nzuri tu nilipata E ya adv Math.usiwe na roho ya hivo ndugu haya maisha nakushauri usome vizuri taratibu zilizowekwa.Amani iwe juu yako
  7. S

    Mkwawa High School mpo?

    nimekumbuka mbali sana mwl masatu kunikamata nikiota jua nakuniimbishq nyimbo ya shule makamu mzee tende kunilazimisha kuimbisha mwenge ndio kwanza nilikuwa nimeripoti form five kuoga wk to wk kuna watu walikuwa wanakula bata hawachukuliwi hatua kali pale ngazi 15,ila ikitokea kwako utajuta...
  8. S

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    nahitaji kitabu cha hesabu FOUNDATION OF ANALYSIS hii ngoma ya chuo
  9. S

    Janga hili ni letu sote

    Kwetu sote watanzania kutokana na Hali inavyozidi kuongezeka nadhani ni muda sahii kufanya constructive arguments ya Nini kifanyike katika Hali tuliyo nayo especially Hapa dar kutumia lugha zisizo na weledi haitakuwa poa. Ndugu zangu hili ni tatizo letu sote naamini hata Hao waliopo kwenye...
  10. S

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    salaam kwenu wanajamii, Naombeni msaada wa mawazo chanya katika kumsaidia kijana mwenzetu.kuna ndugu yangu amepata pts 28 matokeo ya kidato cha nne nataka nimuendeleze kupitia certificate courses, je kwa points hizo na utaratibu wa sheria za elimu hapa Tanzania ana sifa ya kuendelea na masomo...
  11. S

    Nimepata ada ya chuo leo, nikienda chuo nitapokelewa?

    Nimepata ada leo vipi wadau niende COICT-UDSM au nisubiri mwakani? Nilichaguliwa Bsc in electronics
  12. S

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    kwa aliesoma/anaesoma Bsc in computer science na ana desa za first year especially MT 100 and c programming.tusaidiane
Back
Top Bottom