Janga hili ni letu sote

Janga hili ni letu sote

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
155
Reaction score
88
Kwetu sote watanzania kutokana na Hali inavyozidi kuongezeka nadhani ni muda sahii kufanya constructive arguments ya Nini kifanyike katika Hali tuliyo nayo especially Hapa dar kutumia lugha zisizo na weledi haitakuwa poa. Ndugu zangu hili ni tatizo letu sote naamini hata Hao waliopo kwenye uongozi wataTuelewa. Mimi naanza usafiri WA abiria dar kuingia/kutoka uzuiwe Fasta maana dar imeonekana kuwa kitovu cha COVID_19 Hapa Tz.
Unaweza kukanusha kama unahoja
 
Mimi nashauri baba mwenye nyumba arudi mjini kuongoza mapambano dhidi ya huyu mdudu
 
Mimi nilimshangaa Mbowe aliposema Wananchi tufungiwe ndani tufe na njaa

Huku yeye akilipwa mamilon na serkali

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you dumb ? Wapi mbowe alisema wananchi wafungiwe ndani wafe na njaa?
Sasa sikiliza iko hivi.

Alichosema ni lock down kwa baadhi ya maeneo haswa yaliyo athirika zaid. Haswa dar..?
Yaan lock down ni muhimu sana. Kutokana na hali halisi iliyopo.

Huu sio wakati wa siasa.. adui ni mmoja nae ni corona. Huyo ndio wa kupambana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom