Recent content by sicu

  1. S

    Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Ngoja na wewe utiliwe madawa ya kulevya ktk bia, ubakwe. Alafu mpenzi wako utakae mpata akuache. Tatizo la mwenzio ni lako. Namashaka na wewe, inawezekana hao watu uliwatuma wakambake. Ili upate sababu ya kumuacha. Hatari
  2. S

    Makosa wanayofanya wanaume waliooa

    1) kukununulia fanta wakati ulisema unataka coke 2) kushinda kwenye internet kutafuta wa kuongea nae wakati wewe upo karibu nae.
  3. S

    Wasichana wa Kichina

    Hata Tanzania unaweza kubaguliwa, inategemea na mtu mwenyewe ulivo. Inategemea na mtu mwenyewe ulivo, na sifa mbaya ya ile kabila ulio tokea. Na waafrika wengi wanamatendo yasio mazuri, waongo, wezi, matapeli nk. Na rafiki yangu akilalamika anabaguliwa na wazungu na kutukanwa. Nilipo mzoea...
  4. S

    Hivi nyie wanawake mbona mnapenda/mnatamani sana kuolewa?

    Mbaya zaidi ikiwa na wao wanamaboyfriend kumi kumi maana mutakua 110.
  5. S

    Natafuta mchumba wa kike umri kati ya miaka 30 - 35

    Dalali nipo, sema gari ya aina gani, bei na shipping jumla unakiasi gani, ili nikutaftie
  6. S

    Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

    Thank you jesus, Jesus is only a doctor. Ukimkimbilia mungu na kumfuata matendo ya yesu, utashinda duniani na mbinguni. Utaishi kwa upendo na amani, tena maisha marefu.
  7. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    .........wasukuma wa online wanamaneno makubwa makubwa..........
  8. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Jamani??? wasukuma wenyewe kabisa uongea kidogo kodogo,
  9. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    sababu unajifanya mujanja. kama watoto wa mujini
  10. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Ndege mjanja unasa ktk tundu bovu, wasukuma msibadilike. Wa kumuonelea huruma ni huyo mwanamke maana anajiona mjanja kufanya ukahaba, kumbe anajidhalilisha, na kujiaribia maisha yake kwa upumbavu wake.
  11. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Nasikia wasukuma wana mapenzi ya kweli, ndio maana wana chance kubwa kupata mwanamke kirahisi na kudumu na mwanamke
  12. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Mbona sijasikia msukuma kafa kwa kuhonga mpenzi wake pesa, kama kweli wajinga? Watu wana honga uhai, nini makaratasi kwa mpenzi wake?
  13. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    wanaume wa kisukuma ndio mpango mzima. Ngumu sana kukuta mwanamme wa kisukuma yupo single.
  14. S

    Wanaume wa KISUKUMA muache UZOMBIE! Huo sio ujanja kabisaa!

    Kwa wasukuma ni utoe maisha yako sadaka kwa simba ili upewe mke, huko hakuna kuhurumiwa na wala kujihurumia. ulisikia wapi mwanaume akajihurumia kama mwanamke? Pesa ni karatasi tu kwa msukuma haina thamani,
  15. S

    Huyu mkaka jamani lol

    aje umuambie siri zako pia?
Back
Top Bottom