1- kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
5-kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.
6-kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.
7-kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.
8-kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
9- kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
10- kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
11-kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi