Recent content by sic2019

  1. sic2019

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa pizza, burger na cake anahitajika

    Tunatafuta Mpishi (mwanamke au mwanume) anayeweza kupika pizza, burger na cake za aina mbalimbali. Eneo ni kigamboni. Vigezo mpishi atapewa vifaa vya upishi lakini atajitegemea kwa vitu vilivyobaki na malipo ni makubaliano na Mwajiri. Tuma ujumbe kwenda 0762177935
  2. sic2019

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa nyumbani wanahitajika

    Tunatafuta wafanyakazi wa nyumbani (kuishi kwa mwajiri) kwa ajili ya kazi maeneo mbalimbali hapa Dar na hata mikoani. Kazi ni kuangalia watoto, usafi na kupika. Vigezo ni lazima uwe unapenda watoto, msafi na mwaminifu. Mshahara unaanzia laki moja (100,000). Tuma ujumbe tu kwa namba ya simu...
  3. sic2019

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kozi iitwayo 'Barchelor of Health Information System'

    Na recommend kama unataka masuala ya Health usichague hiyo course maana kuna marafiki zangu wengi walilalamika hawakupata walichokuwa wanategemea
  4. sic2019

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kozi iitwayo 'Barchelor of Health Information System'

    Ni part ya computer science lakini imebase kwenye health
  5. sic2019

    JamiiForums Tanzania Dagaa wa Zanzibar au wa nyama wanapatikana kwa bei nafuu

    Mzigo mpya umeingia jana Karibuni sana wateja wangu
  6. sic2019

    JamiiForums Tanzania Natafuta dagaa wa Zanzibar al maarufu "dagaa wa nyama"

  7. sic2019

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Web Developer, nipo hapa kwa ajili yako

    Nimekutumia
  8. sic2019

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Web Developer, nipo hapa kwa ajili yako

    Nimeshakutumia
  9. sic2019

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Web Developer, nipo hapa kwa ajili yako

    Samahani Kiongozi unaweza kunielezea kidogo nawezaje kunufaika na block chain
  10. sic2019

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Web Developer, nipo hapa kwa ajili yako

    Wahi sasa kwa kipindi hiki cha nane kwa bei sawa na bure kwa huduma utakayo hitaji. Karibuni
  11. sic2019

    JamiiForums Tanzania Dagaa wa Zanzibar au wa nyama wanapatikana kwa bei nafuu

    Utatutajia bus linalofika mpaka huko, then utalipia bei ya mzigo na ushuru na utapata mzigo wako salama na kwa uaminifu kabisa. Karibu kiongozi
  12. sic2019

    JamiiForums Tanzania Dagaa wa Zanzibar au wa nyama wanapatikana kwa bei nafuu

    Wateja wetu tunawataarifu kuwa mzigo mpya umeingia na kwa kilo zaidi ya NNE kuna punguzo la bei Wote mnakaribishwa
  13. sic2019

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Web Developer, nipo hapa kwa ajili yako

    Kama una website, blog, system unahitaji nikufanyie maintainance niambie nipo hapa kwa ajili yako. Karibuni wote
  14. sic2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili tisa (9) za mtumwa wa ngono

    Mleta mada ndo muhanga mkuu, kwahiyo anatoa siri zake jinsi alivyofanikiwa kuacha ngono
  15. sic2019

    JamiiForums Tanzania Warembo wa JF

    Vipi umepata PM ngapi mpaka sasa? Nataka nijue kama vijana wangu walianza kazi
Back
Top Bottom