Dalili tisa (9) za mtumwa wa ngono

Dalili tisa (9) za mtumwa wa ngono

DALILI 9 ZA MTUMWA WA NGONO

1. Akili yako imejaa picha za ngono, na ubongo wako umejaa mawazo ya ngono.

2. Uwezo wako wa kufikiri umeshuka hadi chini ya asilimia 5, na uwezo wako wa hisia umepanda hadi zaidi ya asilimia 95, na akili yako haitofautiani sana na akili ya mbuzi.

3. Huwezi kufanya chochote cha maana maishani kwa kuwa unapoteza asilimia zaidi ya 90 ya muda wako kuwaza na kufanya ngono.

4. Akili yako na hisia zako zimepinda kiasi kwamba usipopata fursa ya kuona picha za ngono au kufanya ngono halisi unakuwa teja, zoba, tayari hata kujiuza.

5. Kutokana na kutumia vibaya akili yako na muda wako, uko katika matatizo makubwa ya kifedha, unalelewa, au unakaribia kufilisika na utaishia kuwa masikini wa kutupwa anayelelewa.

6. Huna raha maishani maana una tamaa kuliko fisi maji, na ukishafanya ngono hutosheki, unataka tena na tena, hivyo umeanza kuwa chizi fresh kwa tamaa.

7. Hupendi mtu, unajipenda mwenyewe, unapenda mwili wako zaidi, huwezi kuoa wala kuolewa, na hujisikii vibaya wala huoni haya kuingilia ndoa za watu wengine.

8. Una roho mbaya sana kwa siri, uko tayari kuumiza mtu kwa ajili ya ngono, uko tayari hata kubaka na kulala na wanyama. Una nuksi na mikosi. Huna mbele wala nyuma.

9. Unataka kuachana na utumwa wa ngono lakini huwezi. Unajuta kila mara na kukusudia kujirekebisha, lakini unaanguka tena. Unasikia kujilaumu na kukata tamaa.

USHAURI
Utumwa wa ngono ni kifungo kibaya sana, lakini huwezi kuchomoka kwa nguvu zako mwenyewe. Unahitaji msaada. Keti chini, jitafakari; magonjwa, umasikini, ufukara, upweke, jela na kifo viko mbele yako. Jehanamu inakungoja.

Unahitaji neema ya Mungu kukuokoa kutoka katika gereza la utumwa wa ngono ulipo sasa, ili uwe huru.

HATUA ZA KUJIKOMBOA
1. Tamka maneno haya ukimaanisha toka moyoni.

Bwana Yesu Kristo, naomba uniweke huru na unipe neema yako ya msaada, niweze kuishinda dhambi. Naomba unisamehe maana sijui nitendalo. Amina.

2. Jiepushe na marafiki ngono wote.

3. Usiangalie tena picha na video za ngono.

4. Nenda Kanisani ukaombewe zaidi. Usiende kwa waganga au kwa wenye imani za majini, watakutupia jini mahaba na mapepo mengine ya ngono, na hali yako itakuwa mbaya kuliko awali.

Mungu akubariki sana.

Credits:RUMONDO

Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri sana.Kujitoa kwenye kifungo cha uasherati/uzinzi ni vita inayohitaji msaada wa Mungu mwenyewe.Inahitajika neema kwa kweli maana ni sawa na adiction ya sigara au madawa ya kulevya hivi.Lakini inawezekana ukiichukia hiyo tabia kwa dhati ya moyo wako na kuepuka kuambatana na mambo na watu wanao ku-atrack kuzini/wanaoamsha hisia zako za kimwili.Fanya maamuzi magumu waambie tuu kwamba wewe umeacha hayo mambo baada ya kumrudia Muumba wako.Wakiendelea kukufuata wa-block kuonyesha uko serious.ukipata picha ya hovyo delete right away hasa kwenye wasap groups.usiingie kwenye sites za hovyo hovyo.Ikiwezekana funga kabisa facebook acount yako.shiriki sana ibada.Kama una familia tumia muda mwingi kukaa na familia yako mke/mume.asume kwamba katika uzinzi wako utapata magonjwa makubwa yatakayokupatia umasikini kama hapetitis/au kansa/kidney failure.Asume pia utafumaniwa na utarushwa live kwenye social media.Asume pia mchepuko wako anaweza akafa ghafla ukiwa naye guest halafu ukatakiwa polis kusaidia upelelezi.

Ndiyo maana imeandikwa "aziniye na mwanake hana akili kabisa maana anafanya jambo litakalo angamiza nafsi yake"
 
Unaweza kutuambia chanzo cha tatizo? Yani mpaka mtu awe mtumwa wa ngono anakuwa amepitia yapi, usipojibu hili swali kwa ufasaha bandiko lako halitakiwa na maana. Asante sana.
 
DALILI 9 ZA MTUMWA WA NGONO

1. Akili yako imejaa picha za ngono, na ubongo wako umejaa mawazo ya ngono.

2. Uwezo wako wa kufikiri umeshuka hadi chini ya asilimia 5, na uwezo wako wa hisia umepanda hadi zaidi ya asilimia 95, na akili yako haitofautiani sana na akili ya mbuzi.

3. Huwezi kufanya chochote cha maana maishani kwa kuwa unapoteza asilimia zaidi ya 90 ya muda wako kuwaza na kufanya ngono.

4. Akili yako na hisia zako zimepinda kiasi kwamba usipopata fursa ya kuona picha za ngono au kufanya ngono halisi unakuwa teja, zoba, tayari hata kujiuza.

5. Kutokana na kutumia vibaya akili yako na muda wako, uko katika matatizo makubwa ya kifedha, unalelewa, au unakaribia kufilisika na utaishia kuwa masikini wa kutupwa anayelelewa.

6. Huna raha maishani maana una tamaa kuliko fisi maji, na ukishafanya ngono hutosheki, unataka tena na tena, hivyo umeanza kuwa chizi fresh kwa tamaa.

7. Hupendi mtu, unajipenda mwenyewe, unapenda mwili wako zaidi, huwezi kuoa wala kuolewa, na hujisikii vibaya wala huoni haya kuingilia ndoa za watu wengine.

8. Una roho mbaya sana kwa siri, uko tayari kuumiza mtu kwa ajili ya ngono, uko tayari hata kubaka na kulala na wanyama. Una nuksi na mikosi. Huna mbele wala nyuma.

9. Unataka kuachana na utumwa wa ngono lakini huwezi. Unajuta kila mara na kukusudia kujirekebisha, lakini unaanguka tena. Unasikia kujilaumu na kukata tamaa.

USHAURI
Utumwa wa ngono ni kifungo kibaya sana, lakini huwezi kuchomoka kwa nguvu zako mwenyewe. Unahitaji msaada. Keti chini, jitafakari; magonjwa, umasikini, ufukara, upweke, jela na kifo viko mbele yako. Jehanamu inakungoja.

Unahitaji neema ya Mungu kukuokoa kutoka katika gereza la utumwa wa ngono ulipo sasa, ili uwe huru.

HATUA ZA KUJIKOMBOA
1. Tamka maneno haya ukimaanisha toka moyoni.

Bwana Yesu Kristo, naomba uniweke huru na unipe neema yako ya msaada, niweze kuishinda dhambi. Naomba unisamehe maana sijui nitendalo. Amina.

2. Jiepushe na marafiki ngono wote.

3. Usiangalie tena picha na video za ngono.

4. Nenda Kanisani ukaombewe zaidi. Usiende kwa waganga au kwa wenye imani za majini, watakutupia jini mahaba na mapepo mengine ya ngono, na hali yako itakuwa mbaya kuliko awali.

Mungu akubariki sana.

Credits:RUMONDO
Kumbe ni mambo ya Bwana Yesu tena

I thought ni scientific step by step process ya kuondoa hiyo addiction kumbe ni upumbavu wa kutegemea mtu wa kufikirika
 
Mleta mada ndo muhanga mkuu, kwahiyo anatoa siri zake jinsi alivyofanikiwa kuacha ngono
 
Back
Top Bottom