Nadhani viongozi bora ni wale wanaoelekeza nguvu zaidi kwa WANANCHI na kuwaelimisha wao ndo waamue kuliko wanaotumia nguvu nyingi kupambana na viongozi ambao tayari wapo uongozini.
N
Maana yangu huyu ni mwana SIASA tayari na yupo kama kiongozi
Watu wana wivu sana, sasa huyu mtoa post huyu dada endapo atapata Mafanikio Makubwa ndo wa kwanza kuja kuunga mkono kwa kutupia picha. Watanzania vile vya maendeleo pia tunaweza iga, Wewe kijana pls usiwe na roho ya Korosho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.