Ivona Kamuntu wa Azam Tv, acha kumuiga Salim Kikeke bwana haipendezi

kibali

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
504
421
Wewe ni mtangazaji mzuri sana na kwa hakika una mvuto, Mungu amekujalia. Najua kuna swala la role model, yawezekana kabisa Kikeke ni role model wako, lakini usimuige kuongea, hasa unapohoji unataka kabisa uongee kama Kikeke! Mpaka kuongea kwa mkato mkato! Haivutii, kuwa wewe itapendeza zaidi.
 
Kajinga sana haka kadada, baada ya kuwa mbunifu kama salama jabir( mkasi) kanaiga watu
 
wewe ni mtangazaji mzuri sana na kwa hakika una mvuto Mungu amekujalia, najua kuna swala la role model yawezekana kabisa Kikeke ni role model wako lakini usimuige kuongea, hasa unapohoji unataka kabisa uongee kama kikeke! Mpaka kuongea kwa mkato mkato! Haivutii, kuwa wewe itapendeza zaidi.
Umejuaje kuwa anamuiga Kikeke na Sio Kikeke kumuiga Kamumtu.?
 
Sijamsikia siku nyingi akisoma news. Yuko wapi huyu dada? Napenda maringo yake.
 
Watu wana wivu sana, sasa huyu mtoa post huyu dada endapo atapata Mafanikio Makubwa ndo wa kwanza kuja kuunga mkono kwa kutupia picha. Watanzania vile vya maendeleo pia tunaweza iga, Wewe kijana pls usiwe na roho ya Korosho
 
Kwa wanaomjua huyu dada ni kweli anaiga sauti,mi huwa nikimwona kwenye habari naenda itv,kipind cha uchaguzi dodoma ndo aliniboa balaa
 
Kajinga sana haka kadada, baada ya kuwa mbunifu kama salama jabir( mkasi) kanaiga watu

Ana uwezo mzuri sana wa utangazaji hakuwa na sababu ya kuadopt style ya Kikeke, angekuwa real tu kama Fatma Nyangasa na wenzie
 
Kwa wanaomjua huyu dada ni kweli anaiga sauti,mi huwa nikimwona kwenye habari naenda itv,kipind cha uchaguzi dodoma ndo aliniboa balaa

Leo nilikuwa nikiangalia news, ulipofika wakati wa mahojiano Duh! Ilibidi nirudi zangu ITV
 
Wewe ni mtangazaji mzuri sana na kwa hakika una mvuto Mungu amekujalia, najua kuna swala la role model yawezekana kabisa Kikeke ni role model wako lakini usimuige kuongea, hasa unapohoji unataka kabisa uongee kama kikeke! Mpaka kuongea kwa mkato mkato! Haivutii, kuwa wewe itapendeza zaidi.

Kuigana kawaida ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom