Kuna ndugu yangu wa karibu kahamia kwa boyfnd wake km mwezi hv umeisha kisa ana mimba. Hv hatma yao hasa itakuwa ni nini? Sababu hawakuwa wamepanga kuishi pamoja ila ni kwa sababu tu ya mimba.
Kuna ndugu yangu kahamia kwa mpenzi wake kisa ana mimba.
Hivi ni sawa? maana anahofu akijifungulia kwao itakuwa imekula kwake, kwani hata mwanaume akimsaidia hawezi kumsaidia na kuwa naye karibu kama asipohamia kwake.
Pili anahofu akizaa akiwa home ni rahisi kutengana.
Hivyo amehamia kwake...
Natumaini unayesoma hapa uko poa salama salimini.
Naomba unijuze garama ya kufungua bekari ya mandazi na mkate, na mengine yote yanayohusiana na hiyo biashara.
Asante
Asanteni kwa ushauri mzuri...km umekerwa na kufunguka kwangu samahani....ndoa naihedhimu sana...na pia nimesema hayo yote ili nipate ushauri... asanteni
Cjawahi hata cwezi kwanza... namheshimu sana mume wangu...na nampenda sana. Najitahid kushiriki vizuri...mara nyingi tukichat huwa namuuliza anataka nini...nimfanyie nini aridhike...anasema hapana anaridhika...najituma sana kwa kweli lakin wapi
Huyu ni wapili...mwanaume wangu wa kwanza acha kbs...mda wote yuko active...alikua ananifikisha hatareee...ila ndio hivyo tena tuliachana labda pia haikuwa ndoa imeandikwa mi na yeye...ndio nikampata huyo brazameni.... ni mzuri handsome wa haja...body body lakin hamna kitu...
Nimeolewa miezi miwili iliyopita. Kabla sijaolewa huyu jamaa tulikuwa tunakutana mara chache chache sana. Na tulijuana miaka mitatu kabla ya ndoa.
Na pia kwa kipindi chote tulikuwa tukisex akipiga moja ya km dk 10 akimwaga ndio imekwisha hajawahi kurudia, ni mpaka labda kesho tena au baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.