Asalaam...naomba kujuzwa oocean road hospital iko wapi...naomba direction pls

waelykum salaam warahmattullah wabarakattu,ocean road ipo posta karibu na ikulu,panda gari za kivukoni shuka kituo cha ardhi then ulizia na utaelekezwa,ila pole sana kwa majibu mabaya uliyopewa na wadau

Niko mabibo.. naenda kwa ajili ya matibabu. Nimeandikiwa nikapime hapo uvimbe

Kama unatumia smartphone switch on GPS navigation au Google map...itakupa direction uwezi potea
waelykum salaam warahmattullah wabarakattu,ocean road ipo posta karibu na ikulu,panda gari za kivukoni shuka kituo cha ardhi then ulizia na utaelekezwa,ila pole sana kwa majibu mabaya uliyopewa na wadau
Niko mabibo.. naenda kwa ajili ya matibabu. Nimeandikiwa nikapime hapo uvimbe
Panda uda za kivukoni ukifika mwisho rudi na bara bara inayoenda ikulu nenda moja kwa moja kulia utaona tanganyika swimming pool nyoosha moja kwa moja mpaka utaona kujimlima cha hapi hapo kushoto ndio Ocean Road Hospital.