Recent content by Sia Mkama

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Gwajima alivyochangia anguko la Lowassa

    hakika kwenye politics kila move inaathari zake, hili la Gwajima lilikua na athari pia!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Mbowe, Mnyika, Kubenea, Mdee, Tundu Lissu

    Mkuu mbona ID yako na unachoandika tofauti kabisaaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Leo rahaaaaaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

    Akubali tuu kila kitu kina majira yake, simply majira ya Lowassa yameshaisha ameshindwa hiyo ndio demokrasia!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makengeza ya fikra

    Nimekuelewa sana!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya timu mpya ya uongozi wa CHADEMA baada ya uchaguzi

    Mwapachu A.K.A Mr Clean je?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Mkuu tujiandae kushuhudia mnyukano CHADEMA

    Heheheh mi nasubiri tuu andiko lako litimie!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji "eti al - lila na fila hawatengani"

    "Shangilieni Ushindi Waja" J.K
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Lowassa UKAWA umeongeza majimbo na kura

    Ruzuku pia imeongezeka, watu wanaona mbali.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    Sawa ila argument yangu ni kuwa kama wamevunja sheria wafungwe hayo maelezo yako hayana maana!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Usahihi: Maalim Seif hajajitangazia ushindi urais Zanzibar!

    Amevunja sheria. Hairuhusiwi kujumlisha matokeo!
  12. S

    JamiiForums Tanzania ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

    Mmiliki wake anatumia vyombo vyake vya habari ili kutimiza agenda zake ikiwemo swala la gesi!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaheshimu wananchi, ifanye yafuatayo

    CCM wameshinda UKAWA wameshindwa alafu wanakataa hayo ndiyo mazingira yaliyopo. Wananchi wengi wamemchagua Magufuli heshimu maamuzi yao ndio Demokrasia!
  14. S

    JamiiForums Tanzania ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

    ITV ni genge la Lowassa!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    Hao kama wamevunja sheria za nchi basi sheria ichukue mkondo wake!
Back
Top Bottom