boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Iwapo serikali inawaheshimu watu wake,kuthamini amani iliyopo,na kwa maslahi mapana ya nchi,kutokana na mazingira yaliyopo ushauri wangu ni huu,uchaguzi uahirishwe,iundwe serikali ya mseto kwa kushirikisha vyama vyote vya siasa,tushughulikie katiba mpya ndio turudi kwenye uchaguzi.tukiendeleza maslahi ya vyama na wanasisa taifa tunalielekeza shimoni