Mapendekezo ya timu mpya ya uongozi wa CHADEMA baada ya uchaguzi

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
561
Reaction score
183
Ni wazi sasa baada ya uchaguzi maisha yanaendelea, napendekeza Mh Edward Lowassa achukue uenyekiti wa chama na ikiwezekana Sumaye ajiunge na CHADEMA na awe makamu wake mambo yataenda vizuri.
 
Fisadi lowasa anaenda kichunga ng'ombe. Sumaye atakuwa anashughulikia kesi ya kunyang'anywa shaba na serikali. Pia fisadi lowasa naye atakuwa na mikesi kibao ya ufisadi. Pole jipangeni lichama lenu lilishakufa. Niliweka maombi tangu 2013 kuwa chadema lazima ife! Soma signature yangu hapo chini.
 
Yaa inabidi wampe Luwasa wadhifa ili hela za ruzuku zisaidie kulipa fedha alotumia ya kampeini. Ila du kazi ipo wale waliopo wajanja sana watamtosa tu. Awaulize akina Zito na Slaa walivoingizwa chaka.
 
Ni wazi sasa baada ya uchaguzi maisha yanaendelea, napendekeza Mh Edward Lowassa achukue uenyekiti wa chama na ikiwezekana Sumaye ajiunge na CHADEMA na awe makamu wake mambo yataenda vizuri.

Akasante gamba
 
Sumaye is still strong, nadhani tumpe uenyekiti mbowe awe katibu. 2020 Sumaye agombee urais.
 
Nyie Mbowe mnamjua mnamsikia? uchaguzi umeisha anafungiwa vioo, hatoamini.....awaulize Zitto na Slaa.
 
Fisadi lowasa anaenda kichunga ng'ombe. Sumaye atakuwa anashughulikia kesi ya kunyang'anywa shaba na serikali. Pia fisadi lowasa naye atakuwa na mikesi kibao ya ufisadi. Pole jipangeni lichama lenu lilishakufa. Niliweka maombi tangu 2013 kuwa chadema lazima ife! Soma signature yangu hapo chini.

masikini huyu hajui hata kuandika eti naye ccm hakiyamungu laana kubwa itawashukia ccm kwa jinsi wanavyotumia ujinga wa watanzania kama mtaji wao kisiasa
 
kwa kweli swala la ruzuku ni muhimu lisiwe business as usual.

moja ya sababu za cdm/ukawa kubadili gia angani na amini ilikuwa financial constrain.

Lowasa awe mwenyekiti na asimamie ruzuku, kwani amewasaidia sana kuongeza wabunge na idadi ya kura za urais.

sumaye awe katibu mkuu ili wape uzoefu wa kuongoza serikali kwa kujiandaa na mwaka 2025.

kikunge kwa vile hajaishiwa pumzi kama ccm, basi aionyeshe hii pumzi yake kwa kuwa mtendaji/katibu mkuu wa cdm.

masha awe mwanasheria wa chama kumbuka ana uzoefu wa kuwa waziri.
 
Fisadi lowasa anaenda kichunga ng'ombe. Sumaye atakuwa anashughulikia kesi ya kunyang'anywa shaba na serikali. Pia fisadi lowasa naye atakuwa na mikesi kibao ya ufisadi. Pole jipangeni lichama lenu lilishakufa. Niliweka maombi tangu 2013 kuwa chadema lazima ife! Soma signature yangu hapo chini.
Uwepo wa chadema unakukera sana,sababu mmezoea kuwa na wapinzani feki.unaweza ukafa wewe na chadema ikabaki.unaona upinzani unaongeza viti tu.arusha sijui mtamweka meya yupi au mtawanunua wote mpate meya?
 
Ni wazi sasa baada ya uchaguzi maisha yanaendelea, napendekeza Mh Edward Lowassa achukue uenyekiti wa chama na ikiwezekana Sumaye ajiunge na CHADEMA na awe makamu wake mambo yataenda vizuri.

Hahahahahahahahaaaaaaa! Kwikwikwikwikwikwiiiiii. Hivi kadi ya CCM nitaipata wapi nduguzanguni?
 
Back
Top Bottom