Ujuha wangu uko wapi?
Nimekuliza hiyo ya Juu ya ITV ni jimbo gani?
Kama ya chini ni ya NEC na inaonekana ya Ndanda je hayo ITV ni Ndanda pia?
kama wamekosea na ni kinyume cha sheria, sasa unatwambia sisi apa ni mahakamani? Nenda ukafungue kesi au waambie TCRA siyo unakuja na ushuzi mchafu apa!!! ITV, ITV, ITV!!!
ITV ni genge la Lowassa!
Nadhani ITV hapa hawahusika ila "bao la mkono ndio linahusika.
Huu unaweza kuwa ushahidi mwingine wa rafu zinazochezwa.
Mmiliki wake anatumia vyombo vyake vya habari ili kutimiza agenda zake ikiwemo swala la gesi!Inaanza kujidhiirisha
Wewe kama siyo Massawe basi utakuwa Urassakama wamekosea na ni kinyume cha sheria, sasa unatwambia sisi apa ni mahakamani? Nenda ukafungue kesi au waambie TCRA siyo unakuja na ushuzi mchafu apa!!! ITV, ITV, ITV!!!
Ni kweli kabisa jana wamezua kizaa zaa huku mtaani kwa takwimu zao za uongo na upotoshaji mkubwa...nmewapigia sim hawajapokea nikaamua kuwatumia sms waache huu upotoshaji wa makusudi lakin hadi hiv sasa cjapata majibu yao..hili jambo halikubaliki hata kidogoo kwa chombo cha habari kama itv kuupotosha umma kwa maslai yao binafsi
Acha ujuha, hiyo picha ya juu ni ITV,,ya chini ni tume. uzuri mkanda umerekodiwa na sasa napitia moja baada ya moja. ushabiki wao na timu yao hauhalarishi uvunjivu wa amani ya watanzania wote
Acheni Kuchafua vituo vya watu hiyo picha imetoka kwenye screen ya tume ITV walicho fanya ni kuivuta tuu...huu sasa ni ujinga na utoto...uliopitiliza..!Kwanza hueleweki..