Exim bank wameamua kukuza mtaji kwa kuissue bond, na wanahitaji kiasi cha shs 15 billions , mtu yeyote mwenye fedha anaruhusiwa kuwekeza na kiwango cha ching ni million moja kwa riba ya 14% kwa muda wa miaka sita, na riba italipwa kila baada ya mwaka, kwa hiyo ukiweka 1 million utapata 140,000...
Somo hili limekuja wakati muafaka kabisa, ili kuelewa zaidi Exim bank wameissue bond , kiwango cha chini kuwekeza ni million moja,na 14% interest rate, kwa mtu mwenye fedha iddle aisee kawekeza hutajuta
Poleni na majukumu wadau, samahani naomba kupata ushauri , kuna kijana ameajiriwa halmashauri ya wilaya Fulani kama afisa ushirika na ameanza kazi mwezi uliopita mwaka huu, ila aliwahi fanya interview bungeni kwa post ya secretary mwanzoni mwa mwaka huu, nao wamemwita areport kazini...
Habari wana jf, poleni kwa majuku, niliingia jf kabla ya kujitambulisha jamani, naomba kujitambulisha rasmi, naomba tushirikiane, usiku mwema wotee, asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.